Pole sana mkuu. Umri bado unaruhusu tafuta mtoto utapataHabari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba anafikaje 29 bila mtoto?? Sasa yamenikuta 29 naiona hiyo sina mtoto.Jamani msitukane mamba kabla hamjavuka mto
Ndio hapo sasaSasa kwani kuna mtu amekushikilia mkuu usiweze kumpanda mwanamke???? 🤒😎
Zaeni vijana, achen kupotoshana. Tunachoka na hiz nyuzi zenu kila siku. Zaeni ili hataa akil zenu kidogo zipevuke si jnaona akol za mleta mada zilivyo?Mkuu usijipe stress, usilete watoto kabla ya kua kwenye ndoa usitujazie watoto wa mitaani
Mimi nakaribia miaka 40 sina mtoto na sina stress
Tunakula ujana🤸Zaeni vijana, achen kupotoshana. Tunachoka na hiz nyuzi zenu kila siku. Zaeni ili hataa akil zenu kidogo zipevuke si jnaona akol za mleta mada zilivyo?