Nakanusha...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
1. Si kweli kuwa Usalama wa Taifa hawakuhusika na utekaji na uteswaji wa Dr.Ulimboka.

2. Si kweli kuwa Zitto Kabwe hataki kitu ambacho hatakipata.

3. Si kweli kuwa Rais wa Zanzibar anauunga mkono Muungano.

4. Si kweli kuwa Rais Kikwete hakushindwa kudhibiti mfumuko wa bei.

Mwenzangu je?
 
Si kweli kuwa siungi mkono hoja zako!
 

si kweli kuwa JAMII FORUMS IS WHERE WE DARE 2 SPEAK OPENLY NA MAJINA KAMA HAYA
 
si kweli kuwa ni lazima mwanamke alale upande wa ukutani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…