Jamani mwenzenu hapa napokaa nina kama abt a year sasa...life yangu nikitoka job ni mimi na my family au mitoko tu ya nje..neighbour ni habari mzuri baasi....sasa kuna dada anafanya kampuni fulani..mkubwa kidogo kwangu..tho hana mtoto(nadhani mambo yalikataa maskini) kuna siku alinikuta namsindikiza rafiki yangu akatujoin abit nadhani aliienjy my company..frm there naona kama anawish tuwe marafiki kiaina mara tuanze Gym mara anielekeze mikate mitamu inauzwa wapi twende tukitoka kazini...mi nahisi kama not my type..yeye hana majukumu,na anaonekana spender....Namkwepajeeeeeeeeee asijisikie vibaya