SnowBall umeamkaje leo ?????????unataka mwenzio aende 30yrs eeeeeeeeeeeee mwambie hivyo vitundu viko vingi sana hata bata ,kuku,mende wanavyi ng'ombe,mbuzi,nguruwe so aijitafutie matatizo!!!
Hawa watoto wamefanya mapenzi kama kazi..kwamba ukiikosa unalala njaa!!
Kama mtu hakuzimii si unalianzisha kwingine..sasa yeye anakuja kulialia hapa bana!
Hawa watoto wamefanya mapenzi kama kazi..kwamba ukiikosa unalala njaa!!
Kama mtu hakuzimii si unalianzisha kwingine..sasa yeye anakuja kulialia hapa bana!
watoto wa siku hizi mna mambo. sasa umemtongoza mkaka kakukatalia jua kwamba ndo inavyouma wewe unapomkatalia mwenzio anapokutongoza. kumbe inauma kwa wadada lkn kwa wakaka haiumi eeh!