Huyu mchumba wako hatakaa kwa raha tena hapo watamkomeshaje? Hapo umeshaharibu, wewe endelea kuharibu kama ulivyo haribu, mgegede na mama mwenye nyumba yako kufudia kodi yako kisha uhame.
Duuuhh sasa mmaza anaendeleaje kukaa hapo wakati kijana hamthamini? Duuhhh maana hadi anaenda kupokelewa bidada anakaa hapo hapo na analala na kijana daah, hii dunia ngumu sana kuiishi!
Hama hapo kapange kwingine,,, hiyo kodi itakayopotea ndo gharama ya kuwa myopic,,, na usirudie tena, kuwa na msimamo kama bado upoupo au unajikita na mmoja