sasa si umalizie? Ila nn
Tego hilo sema muhuni hajastukia
Siku mwenzio akiwasili tu,weka ngoma ya belle 9 (amerudiiii) kwa sauti kubwa,tatizo litakwisha
Siku mwenzio akiwasili tu,weka ngoma ya belle 9 (amerudiiii) kwa sauti kubwa,tatizo litakwisha
Wakati huohuo huku kwa huyo anayekuja field (kweli dada zetu wajasiri,hapo kaaga kwao anenda filed Jumbe yupo kwa bf),
Mwambie gegedo lako la sasa kuwa huwezi endelea kuwa kwenye uhusiano naye sababu mpe hiyo ya hayo maongezi na dada yake.Mwambie haya "huna mpango wa kuoa karibuni sababu una mambo inabidi uyatimize hvyo kulingana na maongezi ya dada yake anaonyesha kutaka muwe kwenye mahusino ambayo yana uhakika wa ndoa wakati wewe hupo tayari kwa hilo kwa kipindi cha karibuni"
Wakati huohuo huku kwa huyo anayekuja field (kweli dada zetu wajasiri,hapo kaaga kwao anenda filed Jumbe yupo kwa bf),aanza kutengeneza mazingira ya fitna,mwambie kuwa mdogo wa mama mwenye nyumba a nakutaka na anakusumbua wakati wewe humtaki.Hii itakusaidia gf wako kutoshtuka endapo itatokea dada na mdogo wake watampa umbea pindi atakapokuwa anakaa kwako.
habari zenu wana MMU
Najuta kusema uongo na tamaa yangu ya mapenzi, mimi ni kijana wa kiume sijaoa nafanya kazi na kampuni fulani hapa rocky city. Mwezi januari nilihama sehemu niliyokuwa nimepanga nikapata chumba sehemu nyingine.
Nilipohamia mama mwenye nyumba anaishi na mdogo wake wa kike akaanza kuwa karibu na mimi sasa kidume nikarusha ndoano binti kakubari kutoa gegedo, baadaye dada mtu kainasa habari kuwa nakula mzigo kwa mdogo wake ikabidi amwambie mdogo wake anipe taarifa kuwa jion nimuone dada yake ana maongezi na mimi.
Maswali niliyokutana nayo katika kile kikao kati yangu na dada wa yule binti ni:
majibu niliyompa ni kwamba siwezi kujibu maswali yako haraka na mapema mno.
- mdogo wangu nimemuuliza akasema ukweli kwamba una mahusiano naye, je mpango wako ni upi sasa,unakula mzigo na kuacha au una malengo ya kuoa?
- Je huna mke au mpenzi mwingine?
Lakin kinachonifanya nijute ni kuwa mwezi June 2014 mpenzi wangu anakuja toka Dar kuja kuishi kwangu akiwa anafanya field na siwezi kuhama ile sehemu coz nimelipa kodi ya mwaka mzima na masharti ya mkataba wa pango ni kwamba mpangaji akihama kabla ya muda kuisha hela hairudishwi.
Kuepusha shari kati ya mama mwenye nyumba, mdogo wake(gegedo langu la sasa) na mpenzi wangu wa ukweli Nifanye? USHAURI WAKO NI MUHIMU NA SIYO MATUSI
kuna mwingine huwa anatoka SAUT anakuja daslama field kumbe kwa mupenzi
akiondoka huyu kaka anatembea na mama mtu mzima na mmaza kazaa siku si nyingi
mtoto ni wa huyo kaka ila bidada anajua huyo mama ni shangazi wa BF wake NGASOKA....
duh! Kumbe nawe umo kwa kuwa na nyaraka za watu kama warumi
dah! Ulivyoshuka mkuu! Kuna watu mko full gwanda nimeamini!
Siku mwenzio akiwasili tu,weka ngoma ya belle 9 (amerudiiii) kwa sauti kubwa,tatizo litakwisha
Siku mwenzio akiwasili tu,weka ngoma ya belle 9 (amerudiiii) kwa sauti kubwa,tatizo litakwisha
Je wewe ni mwanaume au mvulana????......naona tuanzie hapo ili nikushauri la kufanya.... very simple.