Najuta sana

Mwambie huyo Binti awape nyuchi hao wajuba kila mmoja kwa wakati wake.

Ikiwezekana ndani ya siku tatu awe amemaliza ili mchongo wa vyeti watoe na hizo nguo za kazini.
Kirahisi ivi..Now hapatikani..
 
Hapo hakuna kesi, Nenda polisi au serikali za mtaa, yeye ana ushahidi wa video ila na wewe una ushahidi wa ujumbe wa maandishi kuwa anatishia usalama wako.

Hapo ni uoga wako tu, ukienda polisi au serikali za mitaa na huo ujumbe basi mambo kushnei, hakuna kesi kwasababu hukumbaka, ni hiari yake hvyo kesi hakuna.

Chukua hatua ili upate vitu vyako usepe, unajitesa akili wakati mambo yako wazi.
 
Mwambie mzee huyo binti alikudanganya hakukwambia kama ni mkewe bali housegirl. Japo ushachelewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…