Headless Person
JF-Expert Member
- Nov 30, 2012
- 307
- 58
Achana naye yani amefikia hatua ya kutembea na my friends wako!! Khaaa mazereu sana!
Nimeanza kufikiria kumuacha japo inaniuma sana hasa ikizingatiwa kuwa tulifunga ndoa ya Kikristo kanisani.Sasa hapo unataka ushauri gani wewe?
Be a man and dump her.
Headless person???? Mambo yatakuwa mazuri ukibadilisha hili jinaHabari zenu wanajamvi. Nilidhani nimepata kumbe nimepatikana! Mwaka jana mwezi wa tatu nilifunga ndoa na mke wangu. Tumejaaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume. Kitu kikubwa kilichosababisha nikamuoa ni sura yake ya kuvutia, sauti yake tamu pamoja na umbile lake kwa ujumla. Kiukweli ameumbika sana. Tatizo alilonalo mke wangu ni kwamba kwa sasa hakamati! Hatulii. Anatembea hadi na marafiki zangu. Kibaya zaidi ni kwamba siku hizi kila nikitaka kufanya naye mapenzi ananiambia hajisikii kufanya hivyo. Ameanza kunidharau na kuniona mimi sina hadhi kwake. Inaniuma sana. Wazazi wa pande zote mbili wamejaribu kulitatua hili bila mafanikio. Sasa nimeona kabla ya kuchukua maamuzi mengine mazito nimeamua niwashirikishe mnipe ushauri wenu. Nisaidieni kuokoa ndoa yangu jamani.
Mkuu lengo la kuwashirikisha ninyi hapa ni kwamba mnisaidie kunipa ushauri mzuri ambao utanisaidia mimi kufanya maamuzi sahihi.Hapa utapewa ushauri tu lakini kumbuka maamuzi yote ni yako na mwenye ndoa
Nimeanza kufikiria kumuacha japo inaniuma sana hasa ikizingatiwa kuwa tulifunga ndoa ya Kikristo kanisani.
Mkuu jina si hoja. Ni nickname tu. Nisaidie ushauri wako ili nifanye maamuzi sahihi kuhusiana na huyu mke wangu.Headless person???? Mambo yatakuwa mazuri ukibadilisha hili jina
Mpeleke kanisani umuache hapo hapo kwa paroko.Nimeanza kufikiria kumuacha japo inaniuma sana hasa ikizingatiwa kuwa tulifunga ndoa ya Kikristo kanisani.