Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,610
soma hii chorus
Harusi ni One day event,ndoa ni shughuli ya Milele na Milele.Sawa ana sura nzuri,album ya harusi itatoka bomba sana pale Photopoint,sawa ana shape kweli kajaliwa Seating Alllowance,shela itamfit kwelikweli na marafiki watakusifia umechagua,lakini Je,kwenye ndoa ile sura ndio itajenga familia??Je,ile Seating allowance ndo italea watoto kwenye misingi imara??Waza upya,uko tayari kwa Harusi au Ndoa???Wengi mko tayari kwa harusi tu,mnadhani mna hamu ya ndoa kumbe mna hamu ya kuwaonyesha mashosti jinsi shela litakavyokutoa chicha kanisani...Msichezee ndoa,ni ibada takatifu ile,ya Mungu...waza tena!Kama una hamu na picha tafuta mshkaji mwenye Samsung Galaxy akupige,usifanyie majaribio kwenye ndoa!