Najuta kuzaliwa

Najuta kuzaliwa

Kuzimu sio mbali subilia kidogo tu utafika utaachana na dunia ya karaha
 
Kwani wangeniacha hukohuko walikonitoa wangepungukiwa nanini kama waliona wanauwezo wakunileta duniani basi jukumu lakunihudumia nilakwao hadi nazeeka hadi kufa siyo kuniachia njiani halafu wanasema nijitegemee huu ni utapeli wa hali yajuu sana walionifanyia
 
hhahahaha najaribu kuangalia avatar yako na mwandiko wako nabaki natabasamu !!!
 
Huwa ninajiuliza hadi nakosa jibu labda wenzangu mtanisaidia,wazazi wangu ndiyo walifanya mipango hadi mimi wamenizaa wakati huo mimi wala hawakunishirikisha na nilipokuwa mtoto walinijali sana kila kitu walikuwa wananihudumia hadi nimeanza kupatapata akili walikuwa wananijali sana namimi nikayaona maisha ni mazuri sana,lakini nashangaa miaka ilivyokuwa inasonga nao wamenitelekeza sipati huduma kama zamani wanasema nijitegemee yaani maisha yamekuwa magumu kupita kiasi naona hapa wameniingiza mkenge kwanini wanifanyie hivi wakati mimi sikuwaomba wanilete huku duniani wangeniacha hukohuko walikonitoa hapa hawajanitendea haki kabisa" nawasilisha
Ni ashiki zao mkuu ndizo zilizokuleta na wewe pia utawaleta wengine labda uwe ....
 
Huwa ninajiuliza hadi nakosa jibu labda wenzangu mtanisaidia,wazazi wangu ndiyo walifanya mipango hadi mimi wamenizaa wakati huo mimi wala hawakunishirikisha na nilipokuwa mtoto walinijali sana kila kitu walikuwa wananihudumia hadi nimeanza kupatapata akili walikuwa wananijali sana namimi nikayaona maisha ni mazuri sana,lakini nashangaa miaka ilivyokuwa inasonga nao wamenitelekeza sipati huduma kama zamani wanasema nijitegemee yaani maisha yamekuwa magumu kupita kiasi naona hapa wameniingiza mkenge kwanini wanifanyie hivi wakati mimi sikuwaomba wanilete huku duniani wangeniacha hukohuko walikonitoa hapa hawajanitendea haki kabisa" nawasilisha
Na ww usitelekeze watoto wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom