Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
Wote wapo LondonSawa waue wazazi wako kwakua ndio wenye makosa kukuzaa hapa tz
Best comment of the yearSijui unatuchukuliaje?
"Marekani kwanza elimu ni bure..."Aisee kwa hizi bata ninazokula huku abroad na maisha ya huku abroad daah sometime najilaumu kuzaliwa Tanzania sio kama nakufuru ila ndiyo uhalisia aisee
Mfano halisi kama bata langu nililokula qatar aisee sio poa nchi iko Well planned hamna longolongo kama hizo nchi zenu za kiAfika zimejaa siasa maji taka tu kiukweli maisha maisha ya Afrika ni hovyo sana narudia najuta sana
Marekani kwanza elimu ni bure na ni shule nzuri na za kuvutia hamna longolongo kuna uhuru wa kuzungumza na kuongea chochote kile
Nasema najuta sana kuzaliwa Afrika ni hovyo kabisa
Huu ndio ukweliMmh! Siku zote wanasema mkataa kwao ni Mtumwa.
Huenda ushakuwa Mtumwa huko.
Nikiwa mtumwa na wewe usiyekuwa mtumwa tunafukiwa tuHuu ndio ukweli
Kujuta kuzaliwa Tanzania, ni kujuta kuzaliwa na wazazi waliokuzaa ambao inawezekana nao ni watanzaniaAisee kwa hizi bata ninazokula huku abroad na maisha ya huku abroad daah sometime najilaumu kuzaliwa Tanzania sio kama nakufuru ila ndiyo uhalisia aisee
Mfano halisi kama bata langu nililokula qatar aisee sio poa nchi iko Well planned hamna longolongo kama hizo nchi zenu za kiAfika zimejaa siasa maji taka tu kiukweli maisha maisha ya Afrika ni hovyo sana narudia najuta sana
Marekani kwanza elimu ni bure na ni shule nzuri na za kuvutia hamna longolongo kuna uhuru wa kuzungumza na kuongea chochote kile
Nasema najuta sana kuzaliwa Afrika ni hovyo kabisa
Ndiyo ni WaTanzania ila wapo londonKujuta kuzaliwa Tanzania, ni kujuta kuzaliwa na wazazi waliokuzaa ambao inawezekana nao ni watanzania
Sasa kama una access ya kuwa huko unayo, majuto ya nini? Acha wajute wanaotamani kuwa huko na hawana namna..!!Ndiyo ni WaTanzania ila wapo london