Nafikiri unatakiwa ubadili namna ya kuishi, ulikula kiapo cha kuwa na huyo mwenza wako siku zote za maisha yenu hapa duniani. Na ukitaka kufurahia, toa sadaka baadhi ya mambo ambayo ni kero kwa mwenzio kama hayo. Nina hakika, hata yeye kuna baadhi ya vitu alipenda kufanya ila ameacha kwa sababu yako.
#FurahiaNdoa