Najuta kuoa mwanamke mlokole

Wewe ni ibilisi vipi kama mkeo angekuwa mtu wa vigodoro ungeandika huu uzi, acha kuongea ujinga, una bahati post ya zamani hii
 
Haya makanisa ya namna hii huwa kama wanawaroga waumini. Huyo baada ya muda utasikia kazaa na kijana kanisani hapo au mchungaji. Wewe mwambue kama anarudi arudi kwa masharti uliyompa mwanzo. Kanisani ni Jumapili tu na matukio muhimu ambayo wewe utakuwa na taarifa nayo, siku nyingine ni kulea familia.
 
wewe ni ibilisi vipi kama mkeo angekuwa mtu wa vigodoro ungeandika huu uzi,acha kuongea ujinga,unabahati post ya zamani hii

Acha upuuzi wewe, yaani mtu aliolee kanisa?
 
Ibilisi alizaa mtoto hapa walah
 
Pole sana mkuu, kama unataka kurudiana nae hakikisha abadilishe hilo kanisa. No more!

Makanisa yanayoomba salary slip, hapo hakuna dini kuna biashara inafanyika.
 
wewe ni ibilisi vipi kama mkeo angekuwa mtu wa vigodoro ungeandika huu uzi,acha kuongea ujinga,unabahati post ya zamani hii
Hata Malaya hawezi acha kunyonyesha mtoto wa miezi mitatu Kama Hana matatizo ya kiafya.
 
Mlokole atasema hakuna wachawi, mtaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Ukisema nachukulia simple unamaanisha nini, mimi nimeshauri akae nae wazungumze jamaa atoe msimamo tatizo liko wapi naishi kwenye ndoa niliyopitia nimagum kuliko hili landugu yetu
 
Mkuu tupe mrejesho umefikia wapi wewe na mkeo au ndio ulienda kumpigia magoti rachel
 
Ajabu kuubwa ya walokole...ukipingana nao..au mchungaji wao...Hata Kama Ni kwa hoja na mambo ya dhahir.... watasema una pepo....unatakiwa uombewe...

Wanashusha maombi...nakuonesha unaenda kinyume na Mambo ya Mungu

Wakati in reality Machungaji analinda kura yake.... Hivi waumini kuchanga hela kwenda kumsomesha mtoto wa mchungaji ulaya Ni sawa( hili Ni kanisa jingine...haihusiani na Mada)...

Madhebu ya kiroho yamejaaa uhuni
 
Pole sana mwamba, hongera kwa kutembeza kichapo kwa waifu na shemeji, hahah
 
Mimi mchungaji akinambia nina pepo aisee atachafuka mapema tu
 
Mrejesho, una nani sasa hivi?? Mbudhist au mpagani? lol
 
Ilimtokea ndugu yangu wa karibu tu. Mshikaji akienda kazini watumishi wanalihamishia kanisa nyumbani kwake watakula, watasikiliza kwaya, watalala, jioni ikifika wanamchukua mke wa mshikaji wanaenda kanisani, jamaa akirudi hakuna msosi nyumba haieleweki na mkewe atoke maombi ni saa 6 na kuendelea huko.

Walikuja kubwagana mshikaji akapata anaemfaa na yule mwanamke alipata mlokole mwenzake na maisha yakaendelea
 
Nasikitika Sana kuona bado Kuna watu wanadanganywa kuhusu dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…