Najuta kuoa mkibosho!

Mimi nilipata mkibosho mmoja,rahimu,mpole,mtulivu na hana makuu na tumezaa nae mtoto wa kiume ana miaka 6 hivi sasa,ni mdada mwema sana,hivi sasa kaolewa na mtoto nimemchukua wiki iliyopita.Ni mdada mwema sana
 
Walivyo na shepu isiyoeleweka, meno machafu, roho mbaya uliwezaje kujaribu hiyo jehanam? Kusema ukweli mchaga wa Kibosho, Machame, Marangu, Old Moshi siyo wa kuoa, labda ukaoe Rombo
 
😁😁😁😁😁😁😁
 
Walivyo na shepu isiyoeleweka, meno machafu, roho mbaya uliwezaje kujaribu hiyo jehanam? Kusema ukweli mchaga wa Kibosho, Machame, Marangu, Old Moshi siyo wa kuoa, labda ukaoe Rombo
kwamba wa rombo ndiyo wapoje mzee ? kati ya wanawake wa kichaga hawana mambo mengi naona hawa wa kibosho, warombo watakupasua ohoo
 
Siku hizi wanasema adui muombee ndoa
🤣🤣🤣🤣🤣 nacheka kama mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…