Najuta kuoa mkibosho!

Oa pwani, Tanga, Ubena, Lindi na Morogoro
Hutapata hizi shida hata akiwa msomi, feminist na mpenda maendeleo na wayao

Ingia kwenye kumi na nane ukioa Unyiha, Unyamwanga, Kwa wanyamanyafu, Huko uchagani, Upareni na uchoyo wao, Ufipani hapa utapigwa limbwata la chuo kikuu, Usiguse Ujita, Ukerewe, Ukala, Ukaya, Bila kusahau Singida, Urangi, Mbulu.

Wengine ni kubeti chance ni 50%
 
Kwa iyo sa hivi unamakovu kama yote..wanawake wa uru kibosho na machame kama huna sababu za msingi sio wa kuoa
 
Nyie Masai si huwa mnanyanduana na wanawake wanaokatwa "antena" huyo mkibosho naye kakatwa "antena"?

Tatizo siku hizi Masai wengi hamdunishi mila zenu.
Shukuru Mungu dushe lako hajimwagiwa maji moto ingekula kwako mazima.
 
Kama ilikuchukua wiki tatu kupona na kuendelea na shughuli zako basi ulibabuka tu ngozi juu juu.... majeraha ya moto yanachukua muda kupona hasa ikiwa uliingia mpaka ndani

Pole kwa madhira hayo mkuu...

NB
Mimi nadhani si uungwana kuwahukumu watu wote wa kabila au jamii fulani kwa ubaya uliotendewa na mtu mmoja
 
Unatatizo Mkuu huwezi kuoa tu kwasabu ya kabila tu, maisha kwako yatakuwa mgumu.
 
Kibosho kuna Shape?
Laki mbili tu unalalamika?
Unamwagiwa chai tu mwanaume unalia?
Kwanini masai tu, hujawaona Wasukuma?
 
Pambaneni mpate katiba mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…