Kaka maasai
Member
- Jul 26, 2026
- 84
- 193
ghafla bin vuuu🤣🤣Kwani mkuu imekuwaje pole sana, mwanamke akikujibu ni fimbo imekuwaje Tena kiongozi
HahahahahahahaaKibosho kuna shapes toka lini?
Hao si ndio wale wakati wa kufinyangwa kwa udongo kabla hawajakauka vizuri wenyewe wakakaa
🤣🤣🤣Kibosho kuna shapes toka lini?
Hao si ndio wale wakati wa kufinyangwa kwa udongo kabla hawajakauka vizuri wenyewe wakakaa
Mkuu na wewe ni wa kibosho?Hahahahahahahaa
Toto jinga sana wewe
Unawadharau ndugu zako wa gizani/kishimundu?
HahahahahaMkuu na wewe ni wa kibosho?
Mimi nimelia sana..Hahahahaha
Mm ni mkurya wa mkoa wa mara
Sema nimekaa huko...
Nimemshangaa sana jamaa kusema kibosho kuna shape..nimeshtuka!
Ni Upuuzi MtupuMshaanza ukabila
Kaoe wamasai wenzio next time kama ulivyoamua!
Upuuzi wa kutoshaNi Upuuzi Mtupu
Kerato.Hahahahaha
Mm ni mkurya wa mkoa wa mara
Sema nimekaa huko...
Nimemshangaa sana jamaa kusema kibosho kuna shape..nimeshtuka!