Mambo ndo yamekua Safiiii
Sina stres za Leo sijui, nitakula nini wala nitavaa nini
Kitaa wananikubali Kiaina, kifupi full heshima
Tofauti na zamani, cku hizi naombwa namba ya simu na business cards tofauti na kipindi kile kila mtu potential unampapatikia.
Shida kwa Sasa nimekumbwa na tatizo moja, napenda totoz mpaka nahisi Why nilioa mapema. Coz Sina uhuru wa kutafuna minofu hii angali meno bado yapo.
But anyway, inawezekana Huyu wangu bibie ndo Kaja na Baraka hizi zote.
Mama watoto usichoke kunivumilia
Mimi ni wako tuuuu....