Najuta kununua hii TV msaada please!!

Najuta kununua hii TV msaada please!!

Nyingi ziko hivo. Kuna kijiwaya fln kwa mbele ni earphone jack af kwa nyuma kinatoa red na yellow nadhan ndo unaweka kwenye subwoofer
Sasa mimi nilkuwa sijui hayo mambo,nilkuwa nimeshakalili hz tv za chogo,nilihangaika sana,siku ya kwanza nilishindwa kabisa mpaka nilipokiona hcho kiwaya ndo nikashtuka
 
IMG_0448.jpg

Tafuta hilo tundu la kuchomeka haka kama la earphome,litakuwepo tu.kisha malizia hizi zenye rangi ktk sabufa yako kwishaaa.
 
Kuna moja nipo nayo siku nainunua nilihangaika sana kuconnect hvyo unavyosema baadae ndo nikaja kukiona kitundu kama cha earphones/headphones ndo kinatumika kama output ya sound na hii tv ilikuwa na kiwaya kidogo kinachounganishwa na zile nyaya mbili(nyekundu na nyeupe) za kwenda kwenye subwoofer
Mleta mada ishi humu.

Case closed.
 
Hilo tundu la earphone si ndo output yenyewe, yeye kasema haina output.

Niliwah nunua samsung miaka fulani, nayo haikuwa na output, sema ni vitu ambavyo huwa tuna overlook kwenye manunuzi.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app

Of course kwenye kununua kuna kujisahau

Lakin for sure skuwahi kuwaza kama kuna tv tena flat screen haina direct connection na sabufa??
Nli access tu vtu vyang nkaridhika nkachukua af badae ndo naona io
 
Kuna moja nipo nayo siku nainunua nilihangaika sana kuconnect hvyo unavyosema baadae ndo nikaja kukiona kitundu kama cha earphones/headphones ndo kinatumika kama output ya sound na hii tv ilikuwa na kiwaya kidogo kinachounganishwa na zile nyaya mbili(nyekundu na nyeupe) za kwenda kwenye subwoofer
Mimi natumia hicho na iko poa sana......
 
Mnatoaga wapi ujasiri kutoa pesa nyingi kununua brand ambazo huna uhakika nazo..electronics just go for SONY,LG or SAMSUNG basi
 
Mnatoaga wapi ujasiri kutoa pesa nyingi kununua brand ambazo huna uhakika nazo..electronics just go for SONY,LG or SAMSUNG basi

umesema Mkuu, tatizo kuna wadau humu ukitaja global brands kama hizi wanakujia juu na maneno mabovu! Watu hawajui nini hasa maana ya “brand”!
 
Mnatoaga wapi ujasiri kutoa pesa nyingi kununua brand ambazo huna uhakika nazo..electronics just go for SONY,LG or SAMSUNG basi

Hapana wako vzur pia sema io version yao mpya sijui waliwaza nn

Lakin hata mm target yangu was Hisense sema nlikuta haijaingia kariakoo mwezi mzima(mwaka jana around MAY hvii) na tv zlikuwa juu sana so bei ya LG na SAMSUNG zkanishnda tabia lakn kwa saiv n affordable vizur tu
 
Back
Top Bottom