Najuta kumtembelea tena Lissu hospitalini Nairobi

Kweli hawezi kuiunganisha nchi, Nyerere aliondosha makabila na kiswahili ndio kiunganishi chetu lakini huyu Wa sasa hajui at a kiswahili ,sijui itakuwaje
 
Kimbelembele changu kimeniponza. Kimbelembele cha kumtembelea Lissu hospitalini jana kabla ya kurejea hapa nchini. Najuta kumtembelea Lissu. Afadhali nisingekwenda. Mara ya kwanza nilipomtembelea akiwa ICU alinipa salamu zenu na kuwataka kutonyamaza. Maswali magumu.

Jana,nilipomtembelea wodini nje ya ICU,alinimwagia maswali makali yatakayo majibu ya akili. Akaniuliza,nchi yetu ina demokrasia? Nikafurukuta kujibu. Nikasema,ndiyo. Kabla ya kueleza sababu,akanitupia swali lingine:demokrasia ni nini na inaonekanaje? Nikanyamaza. Nikasema natafakari.

Hakuniacha,akaniuliza tena: wewe kama mtanzania,umechangiaje kuimarisha au kufifisha demokrasia na unaridhika na mchango wako? Akaniongeza maswali: vipi kuhusu utawala wa sheria;upo? Unaonekana? Unaweza kuthibitisha? Katiba mpya je? Kwa mkwamo wake,tuanze upya au tukwamue tulikokwama?

Ndani ya dakika tano,wodi ikawa mahakama. Maswali na majibu. Mengi yakaninyamazisha. Nikajiona fisadi wa uoga na ukweli. Nikajiona zuzu kauzu niliyefuzu. Nikamtazama kwa makini. Kama kawaida yake,Lissu looks timamu,makini na to a point. Nikajaribu kubadili mada kama kutoka Ubungo kwenda Kibada. Akagoma,akanicheka kwa dhihaka. Akamalizia: jitafakari sana,Tanzania ni ya watanzania!

Bunduki za nini tena jamani katika kujenga hoja!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini Kibiti,Pwani)
Mzee Tupatupa katika ubora wake
 
Hapa ndipo napomwelewa Zitto kuwa nyinyi ni mazwazwa..

Demokrasi gani mnayoitaka/mnayoijua wakati nyie wenyewe tu hamtaki uhuru wa mawazo tofauti unataka kila mtu aamini unachamini wewe hata kama ni upuuzi?.

Mnataka Demokrasia wakati hamuamini kwenye uhuru wa mahakama na vyombo vya dola? Yaani mpigane risasi wenyewe then mje mseme ni polisi na sisi tuwaunge mkono eti kisa Demokrasia..How stupid

Huyo Mungu wenu kule Nairobi mpeni taarifa kuwa hii nchi inaendeshwa kwa sheria akitaka kukosoa akosoe akileta upuuzi wa kukashifu na kutukana ataozea jera..

Na bahati nzuri kuna watanzania wazalendo So this time siyo CHADEMA watakaomiminia risasi NIMEOTA ni watanzania wenye nia njema tena zitakuwa za kichwa this time.
Acha ujinga huo sasa so askari wenu wanakazi gani ikiwa CHADEMA wanawafanyia kila mbinu kuwadhibiti ,Leo hii iwe kweli wanapigana risasi waache tumia akili kijana, utafugwa Shauri yako, inamaana polisi wanawaogopa CHADEMA
 
Kwani mlivyomuua Chacha Wangwe polisi wakakaa kimya unadhani waliwaogopa???
 
Muda wa kujua watu nautoa wapi mimi..najitahidi kuzijua issues.

Ok Pole sana,ila the only person ambaye habagui mtu kwa itikadi na aliyeweza kuwahudumia hata maadui zake ni Lissu.Kama hutaki acha,lakini kikubwa Lissu ndiye atakayeweza kuwaunganisha watanzania na si JPM au CCM
 
Na lingine ulilojuta zaidi ni kuona kuwa anaimarika kiafya kila kukicha.
Wenzako wanatamani waendelee kumkuta ICU.
Mwenyenzi Mungu hadhihakiwi...ha ha ha
 
Kwani mlivyomuua Chacha Wangwe polisi wakakaa kimya unadhani waliwaogopa???

Kama Polisi walimjua muuaji wa Chacha Wangwe kwanini hawakumshtaki??Ndipo tunapodai Tume huru au taasisi huru ya kufanya uchunguzi ili tujue mbivu na mbichi,kwa kukataa basi Chama Cha Mauaji hakina namna zaidi ya kuhusishwa na yaliyotokea kwa Wangwe na wengine
 
Kama unauhakika sheria zinavunjwa si usimame utoke mbele useme badala ya kujifanya mwamba n aujuaji nyuma ya keyboard?. Ukiona unaogopa kujitokeza ujue huna uhakika na hizo porojo.

Huyo Lisu wala hajadhuriwa na serikali..na wala si CDM , ILA akitoka huko Nairobi akaendelea kuleta uchochezi na upuuzi wake wa kutetea mabepari wanaotuibia ...Serikali isisite kumpeleka jela hata kama atafia huko na majeraha yake.
We ni mwanga tu, mkivunja sheria tutawasema kwa namna zote!! Nyuma ya mapazia ndi kuzuri maana mmekuwa vichaa mnatupiga risasi!! Hautaacha kusema, mwambieni Bwana wenu aendeshe nchi kwa kufuata sheria!!
 
Kama Polisi walimjua muuaji wa Chacha Wangwe kwanini hawakumshtaki??Ndipo tunapodai Tume huru au taasisi huru ya kufanya uchunguzi ili tujue mbivu na mbichi,kwa kukataa basi Chama Cha Mauaji hakina namna zaidi ya kuhusishwa na yaliyotokea kwa Wangwe na wengine

Wee jibaraguze tu hapo mwenyekiti wako akusikie kama hayatokukuta yaliyomkuta Zitto
 
Mliozoea kupoteza shetani la kupoteza watanzania wasio na hatia linawawinda kila wakati pole sana
 
Kimbelembele changu kimeniponza. Kimbelembele cha kumtembelea Lissu hospitalini jana kabla ya kurejea hapa nchini. Najuta kumtembelea Lissu. Afadhali nisingekwenda. Mara ya kwanza nilipomtembelea akiwa ICU alinipa salamu zenu na kuwataka kutonyamaza. Maswali magumu.

Jana,nilipomtembelea wodini nje ya ICU,alinimwagia maswali makali yatakayo majibu ya akili. Akaniuliza,nchi yetu ina demokrasia? Nikafurukuta kujibu. Nikasema,ndiyo. Kabla ya kueleza sababu,akanitupia swali lingine:demokrasia ni nini na inaonekanaje? Nikanyamaza. Nikasema natafakari.

Hakuniacha,akaniuliza tena: wewe kama mtanzania,umechangiaje kuimarisha au kufifisha demokrasia na unaridhika na mchango wako? Akaniongeza maswali: vipi kuhusu utawala wa sheria;upo? Unaonekana? Unaweza kuthibitisha? Katiba mpya je? Kwa mkwamo wake,tuanze upya au tukwamue tulikokwama?

Ndani ya dakika tano,wodi ikawa mahakama. Maswali na majibu. Mengi yakaninyamazisha. Nikajiona fisadi wa uoga na ukweli. Nikajiona zuzu kauzu niliyefuzu. Nikamtazama kwa makini. Kama kawaida yake,Lissu looks timamu,makini na to a point. Nikajaribu kubadili mada kama kutoka Ubungo kwenda Kibada. Akagoma,akanicheka kwa dhihaka. Akamalizia: jitafakari sana,Tanzania ni ya watanzania!

Bunduki za nini tena jamani katika kujenga hoja!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini Kibiti,Pwani)
Mungu akuzidishie Mzee Tupatupa kwa kutupilia mbali mambo ya itikadi za vyama na kuuvaa utu na ubinadamu
 
Back
Top Bottom