JosephZuberi
Member
- Oct 19, 2017
- 19
- 4
Tunaomba ukawaulize CCM wenzio maana sisi tungejibu ila tatizo tutaitwa wachochezi baada ya hapo tutazawadiwa risasiKimbelembele changu kimeniponza. Kimbelembele cha kumtembelea Lissu hospitalini jana kabla ya kurejea hapa nchini. Najuta kumtembelea Lissu. Afadhali nisingekwenda. Mara ya kwanza nilipomtembelea akiwa ICU alinipa salamu zenu na kuwataka kutonyamaza. Maswali magumu.
Jana,nilipomtembelea wodini nje ya ICU,alinimwagia maswali makali yatakayo majibu ya akili. Akaniuliza,nchi yetu ina demokrasia? Nikafurukuta kujibu. Nikasema,ndiyo. Kabla ya kueleza sababu,akanitupia swali lingine:demokrasia ni nini na inaonekanaje? Nikanyamaza. Nikasema natafakari.
Hakuniacha,akaniuliza tena: wewe kama mtanzania,umechangiaje kuimarisha au kufifisha demokrasia na unaridhika na mchango wako? Akaniongeza maswali: vipi kuhusu utawala wa sheria;upo? Unaonekana? Unaweza kuthibitisha? Katiba mpya je? Kwa mkwamo wake,tuanze upya au tukwamue tulikokwama?
Ndani ya dakika tano,wodi ikawa mahakama. Maswali na majibu. Mengi yakaninyamazisha. Nikajiona fisadi wa uoga na ukweli. Nikajiona zuzu kauzu niliyefuzu. Nikamtazama kwa makini. Kama kawaida yake,Lissu looks timamu,makini na to a point. Nikajaribu kubadili mada kama kutoka Ubungo kwenda Kibada. Akagoma,akanicheka kwa dhihaka. Akamalizia: jitafakari sana,Tanzania ni ya watanzania!
Bunduki za nini tena jamani katika kujenga hoja!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini Kibiti,Pwani)
Maendeleo mmeshindwa kuyaleta tangu nyerere mtayaleta leo kwa kuuwa wanaohoji maendeleo? We hujui maana ya maendeleo ndo mana hata nyumba za serikali zikiuzwa na kujengwa nyingine mnaita hayo maendeleo?Hukuwa na haja ya kuumia kichwa hivyo, majibu alikuwa nayo yeye mwenyewe...Hii inchi haiitaji Demokrasia ya Lisu au CHADEMA inahitaji maendeleo.
Vp umetoroka tena milembe? Zingatia tiba utapona tuHuna lolote wewe, kaa tu hapo ufipa uendelee kutunga tamthilia zako.
Swali: Maendeleo ya nani na wapi? Kama ya Lumumba baada ya Chato sawaHukuwa na haja ya kuumia kichwa hivyo, majibu alikuwa nayo yeye mwenyewe...Hii inchi haiitaji Demokrasia ya Lisu au CHADEMA inahitaji maendeleo.
Ok.Vp umetoroka tena milembe? Zingatia tiba utapona tu
Mara Congo kwa kamanda wetu aliyeuawa na waasi.wewe mzee kila mahali upo.mara kibiti,mara dodoma ,mara nairobi,mara lumumba .
Mgonjwa mtambuka- hivi nani mwenye akili timamu achukue mashauri ya mgonjwa?Huna lolote wewe, kaa tu hapo ufipa uendelee kutunga tamthilia zako.
Maendeleo yatakuja bila dwmokrasia??? kweli yà baadhi ya wabongo inaudhi na kuumiza
Kwakweli watanzania tumekuwa waoga kipumbavu sana!
mtu anatupeleka peleka, sheria zinavunjwa watu wanashambuliwa peupeee!! tuko kimyaaa!!
anaye fanya upuuzi huo hakutuumba wala hana mamlaka na uhai wetu na ndio maana kashindwa kumuua Lissu!
Nenda kwenye majukwaa mbalimbali wasomi wakiona mkubwa kapotoka wanakaa kimyaa...tena jabu wasiosoma ndio hata hujaribu kuthubutu kuhoji upotuvu huo!!
Bila amani na umoja hakuna maendeleo.Lissu ndiye atakayetuunganisha watanzania
Eja One,
Bashite a.k.a Watu Wasiojulikana,
Tunaposema DEMOKRASIA siyo ya Lissu wala ya CHADEMA baali ni ya Watanzania wote. Come back to your senses you lunatic!!! Hayo maendeleo unayodai unafikri yanaweza patikana kwenye siasa za kupigana risasi bila ya kuwa na Demokrasia ya kweli....????Never ever. Mawazo yako ni ya kiwendawazimu.....Anyway ngoja tuone mwisho wake. Lazima mtambue kuwa jaribio la kuondoa uhai wa Lissu limekataliwa na Mungu Baba.
Hii inatosha kuwa a very strong message kwa wale wote walioshiriki kupanga jaribio hili la mauaji. Lazima wajitafakari hapo walipo na wamrudie Mungu wao. Kama bado wanafikra potofu na za kigaidi kama hizi za kuendelea kutaka kuua wapinzani next time itakuwa ni wao siyo Lissu wala mtu yeyote na siku ya kiyama watajibu mbele ya Kiti cha Hukumu ambapo siri za mioyo ya wanadamu wote aitawekwa wazi.
Ameen.
Hahahaa! Lisu yupo kuutetea ugali wake swala la kuunganisha watanzania siyo agenda ya Lisu wala CDM.