π€£Maji ataita mma π€Huyo ulienda sasa hivi anakupasua kichwa?
Wengine mpaka usiku wa manane""Wengine tunaanza Usiku Mmpakaa UsikUu!!""
KidogoHuyo ulienda sasa hivi anakupasua kichwa?
Usiku wa manane""Wengine tunaanza Usiku Mmpakaa UsikUu!!""
ππ""Wengine tunaanza Usiku Mmpakaa UsikUu!!""
Uenda ndio angemsimanga na huo muenokano wake anaosema hajavutiwa nao πππHujawai ishi wala kumuoa huyo anaekufanya ujutie kwa kumkosa hata kama mkeo anazingua.
Leo hujachochea chochea tu moto twako. Ni busara tupu yaani ππΌππΌππΌUnamtamani sababu hujaishi naye, uenda ndo ungejuta zaidi na huo muonekano wake.
Wewe huyo ndo mkeo wa kufanana naye, chukulianeni kila mtu hajakamilika
Inawezekana, kuimagine life ambalo hujawahi kuishi ni very wrongUenda ndio angemsimanga na huo muenokano wake anaosema hajavutiwa nao πππ
Kweli umesema nahisi kama ningekuwa nimepiga hatua kubwa zaidi ya hivi sasaJambo la kawaida sana kukumbuka mambo yaliyopita kwa kuwa na imani kwamba hali ingekuwa nzuri zaidi ukweli ni kuwa hizo ni imagination tu haimaanishi mngekuwa vizuri.
π€£π€£π€£ Hivi ni MCHOCHEZI kwani??Leo hujachochea chochea tu moto twako. Ni busara tupu yaani ππΌππΌππΌ