Najuta kumkaribisha demu wangu JF

Najuta kumkaribisha demu wangu JF

wadada na wakaka mume makini humu siyo kila anaetendwa atayaleta humu.wengine huachwa kimya kimya,wengine hutapeliwa humu,wengine michango yao humu ambayo imeenda shule na matendo yao ni tofauti,hata ushoga hufa.usiamini mtu saaaana.ila wapo watu ambao ni wazuri

Wazuri kama mimi?
 
  • Thanks
Reactions: Paw
wadada na wakaka mume makini humu siyo kila anaetendwa atayaleta humu.wengine huachwa kimya kimya,wengine hutapeliwa humu,wengine michango yao humu ambayo imeenda shule na matendo yao ni tofauti,hata ushoga hufa.usiamini mtu saaaana.ila wapo watu ambao ni wazuri

Kwa kweli tupo watu saaaafi humu hata malaika wanafurahia uwepo wetu humu kisukari!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Sio vibaya kuijua mienendo ya mpenzi wako but wakati mwingine inaumiza sana ukimchunguza bata
 
Akiingia kwenye mikono ya mabazazi amekwisha sasa ombea isitokee.

cc: Asprin
 
Last edited by a moderator:
Demu wangu hakuwa hata anajua kama duniani kuna jukwaa la JF,

Nikamshawishi ajiunge na akajiunga, tokea ajiunge wanajukwaa wengi wa kiume wamekuwa wakimsumbua sana kwa pm, wakipiga mistari,

Wengine wamefikia hatua hadi ya kumtumia namba za simu, nikitembelea profile yake nakuta vistors kibao wa kiume.

Kama mnavyojua miluzi mingi humpoteza mbwa, ninahofu anaweza nipotea kwa mtindo huu, kinachonitisha zaidi niliamua kutengeneza ID asiyoijua nami nikaanza kumtongoza, kanitumia namba yake na ninachat naye sana na ameshaonesha dalili zote za kunikubali, mtihani ni kuonana naye, naogopa kuweka appointment halafu kweli atokee, nitazimia.

Njoo umtambulishe huku kiumeni tukutunzie!
 
Back
Top Bottom