Najuta kumkaribisha demu wangu JF

Najuta kumkaribisha demu wangu JF

Mi sijui bhana! !!!
Bora wewe yanaishia mdomoni wenzio wanatembea na pads kabisa maana sio salivation ni irrigation!!!!!
Halafu kwa nini unachanganya weakness na strength!!!!!!

Aisee, mpaka huwa wale vijana wa moro pale nawaambiaga wantaftie dawa ya kupunguza matamanio!!
I loooove beautiful women! Nikiona mwanamke mzuri kavaa kapendeza roho inafurahigi sana!
Na nikiona demu mzuri ana shida naona kama nisipomsaidia nafanya zambi kubwa sana. tatizo ni mpaka nimwone mzuri!
 
hayajakukuta wewe.

Inshallah mungu aniepushie, lakini kama ukweli ushaujua chakukufanya ukazimia kipi? shukuru umeshajua ukweli sasa akili kichwani mwako kama kuendelea nae na huku ukijua wako wenzio au jipange upya..Samahani ikiwa nimekukwaza nika nia safi tuu nimeongea..
 
Nafasi zimejaa babu,unataka kula mpaka za wajukuu zako kina Tuko??
kwa mfano wewe ntakutongoza sababu ya urembo wako. forget about ukarimu, waweza japo kunifikiria?
 
Last edited by a moderator:
USIMTENGENEZEE MITEGO YA KUMFAMANIA MKEO/GIRLFRIEND KAMA HUNA UWEZO WA KUMUACHA by FA
 
Demu wangu hakuwa hata anajua kama duniani kuna jukwaa la JF,

Nikamshawishi ajiunge na akajiunga, tokea ajiunge wanajukwaa wengi wa kiume wamekuwa wakimsumbua sana kwa pm, wakipiga mistari,

Wengine wamefikia hatua hadi ya kumtumia namba za simu, nikitembelea profile yake nakuta vistors kibao wa kiume.

Kama mnavyojua miluzi mingi humpoteza mbwa, ninahofu anaweza nipotea kwa mtindo huu, kinachonitisha zaidi niliamua kutengeneza ID asiyoijua nami nikaanza kumtongoza, kanitumia namba yake na ninachat naye sana na ameshaonesha dalili zote za kunikubali, mtihani ni kuonana naye, naogopa kuweka appointment halafu kweli atokee, nitazimia.

unatishia kujampa wakati unaharisha? Usilogwe kuweka mitego kwa demu wako kama Huna ubavu wa kumpiga chini!
 
Nafasi zimejaa babu,unataka kula mpaka za wajukuu zako kina Tuko??

Mi ni mvumilivu, incase akikumwaga kama alivomwaga wale wengine nane. Kuna matumaini?
 
Last edited by a moderator:
heee heeee.chezea jf ku flirt kwa wingi humu.ila mimi siamini kabisa mapenzi ya mitandaoni.akikutongoza mmoja ujue hauko peke yako.ni addiction tu kwa hao wanaume wanataka kuonja basi.ni wachache mno wenye nia ya kweli.huyo girlfriend na yeye ameshanogewa,maybe hiyo attention anayoipata humu,huko mitaani hapati.si unajua wengine wanapenda avatar au michango yako ndi inayomvutia,akikuona live hana hamu na wewe
 
Siku hizi hili jukwaa limejaa porojo sana....:violin:
 
wadada na wakaka mume makini humu siyo kila anaetendwa atayaleta humu.wengine huachwa kimya kimya,wengine hutapeliwa humu,wengine michango yao humu ambayo imeenda shule na matendo yao ni tofauti,hata ushoga hufa.usiamini mtu saaaana.ila wapo watu ambao ni wazuri
 
heee heeee.chezea jf ku flirt kwa wingi humu.ila mimi siamini kabisa mapenzi ya mitandaoni.akikutongoza mmoja ujue hauko peke yako.ni addiction tu kwa hao wanaume wanataka kuonja basi.ni wachache mno wenye nia ya kweli.huyo girlfriend na yeye ameshanogewa,maybe hiyo attention anayoipata humu,huko mitaani hapati.si unajua wengine wanapenda avatar au michango yako ndi inayomvutia,akikuona live hana hamu na wewe

ila mi nlikuwa serious. sijui kwanini ulinipiga kibuti. rudisha na piga konde moyo unifikirie mtoto wa mwanamke mwenzio.
 
Aisee, mpaka huwa wale vijana wa moro pale nawaambiaga wantaftie dawa ya kupunguza matamanio!!
I loooove beautiful women! Nikiona mwanamke mzuri kavaa kapendeza roho inafurahigi sana!
Na nikiona demu mzuri ana shida naona kama nisipomsaidia nafanya zambi kubwa sana. tatizo ni mpaka nimwone mzuri!

Good girls - Joe Thomas!!!!!!!!
 
Ndo hivyo ukiona unatongozwa humu mitandaoni ujue kuna weningine nao wanatongozwa vilevile.

Back
Top Bottom