Najuta kuhamia kwangu Kerege

Mimi binafsi nalipwa kodi ya nyumba kwa mwezi nimekubaliana na hali halisi ya uchumi na isitoshe Mimi mwenyewe binafsi tangu mwanzo nilikuwa napenda ikiwezekana nilipwe kwa mwezi, kwangu Mimi ni more comfortable kulipwa kwa mwezi.

Pesa za ada za watotp na kuendesha maisha zinapatikana kwenye source nyingine, hii ya kodi ni ya kulinda heshima mjini tu ndio maama kwangu nahitaji kwa mwezi.
 
NIPE NUMBER YAKO INBOX NIKUPE NJIA UTAIPENDA
 
Wapangaji siku hizi wakorofi, mtafikishana Baraza la nyumba, maana ukisubiri apange upite mwezi ndipo akulipe au alipe mwezi mmoja mmoja, utajuta, Hali ni ngumu watakwambia, Ninasomesha, nimefiwa huna habari najenga na mm, basi shida tupu, wapangaji ni kero sana watoto watajisaidia mlangoni kwako, watachungulia TV, Mama akipika Dagaa wenyewe watakaanga k/moto au watapika pilau, hata dirisha la chumbani kwako usiku watakaribia, kaa nao mbali kabisa
km una sehemu ya kuishi shukuru Mkuu, au waachie kapange NHC au kwa mtu
 
NIPE NAMAB NAKUPIGIA SASA HIVI
NILICHOKIFANYA MIE NILIVYOHAMIA NILIBEBA SIKU YA KWANZA ABILIA NIKWAPA LIFT NDANI YA GARI NIKAWAULIZA WANAOKWENDA KILA SIKU KAZINI NIKAWAPA 2 NA WAWILI WAO WALIKIUWA NA DHARULA TU YA MARA MOJA HIVYO HOA WAWILI NIKAWWAMBIA WACHANGIE PESA YA MAFUTA SEHEMU YA KUPANDA MAGARI 2 KAMA NI 800 NAWATOZA 1000 KAMA 3 1500 HIVYO KAMA UNAPATA 4 KWENDA ITAKUWA 4000 NA KURUDI NINAO WAFANYAKAZI WENZANGU WANAOSHUKA NJIA NAO HUWA WANACHANGIA MAFUTA HIVYO KWA SIKU NAWEZA PATA 7000 AU NANE NIMETENGENEZA KIBUU KWA WIKI SIKOSI KUANZIA 25000-35000 AT LEAST .HIVYO KWA MWEZI LAKI AU 140000 HIVYO UTAKUWA UMETUMIA 60000 TU
 
Hiyo Njia ya Bagamoyo nimeipenda
ila kwa Wajanja unaenda Ardhi mbona 40,000/ searching fee unapata kila kitu
km hilo eneo ni la Mipango gani kwa Mji?, Kanisa, Shule au Barabara
Chukua hao Maafisa na GPA zao za mkononi km simu tu
baadaye Mtendaji wa Mtaa / Kata au Kijiji yeye huwa anahusika na Ardhi yote ya Mtaa
 
Ushauri huu muhimu sana,watu msiupuuzie
 
Nakushauri uoe mkeo mfungulie genge hapo home vibaka watapungua achana na ubaharia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…