Mgonasipapune
Member
- Jan 10, 2011
- 63
- 14
NI KWELI KWAMBA ASILIMIA 90 YA WANAWAKE HUOLEWA NA WATU WASIOWATEGEMEA/WASIOWAPENDA,WAKATI ASILIMIA HIZO 90 ZA WANAUME HAO HUPENDA NA KUOA YULE WANAYEMTAKA...Hii ni kutokana na mila zetu za ki Africa...Mwanamke anaweza mpenda mtu but asiwe na UJASIRI wa kwenda kumwambia na matokeo yake anasubiri Mwingine atokee na AMTONGOZE..Sasa fikiria katika Ndoa pale ndo mmeshaoana na kuzoeana halafu huyu Mwanamke one day anakutana na kutongozwa na Yulee aliyempenda enzi hizo.....SIMO
Japo sikubaliani na ulichoandika, naweza sema kuwa Wanawake wamejaliwa kujifunza kumpenda mwanaume, Ila wanaume wamenyimwa hiyo kitu, so with time mapenzi ya mwanamke hukuwa kama yakipaliliwa hata yakapitiza upendo/mapenzi ya mwanaume.
Anyways Hiyo kujaliwa imesababisha baadhi ya wanaume kupumbazika eti mwanamke akisema NO hamaanishi, Sio kweli, wengine unakuta wanamaanisha tena sana ila with time upendo unaanza kujijenga ndani yako na kubadilisha maamuzi yao ya mwanzo. Ila wengine kusema NO at first place ni strategy yao kupata muda wa kufikiria na kumsoma mwanaume.
It is challenging...Ukifuatilia mwanamke kabla ya kuolewa ya kwamba huwa anatamani aolewe na mwanaume wa aina gani..kama akibahatika kuutoa ukweli toka moyoni mwake basi utashangaa kuona yule anayeishi naye si wa aina ile aliyoitamani..Ukikuta mwanamke alieolewa anamtamani.mwanaume alieompenda zamani, kosa ni.la mumewe.
Sisi wanawake.tunakuwa distracted kirahisi sana (nashangaa mnajisifia udhaifu). Mwanamke akipenda, haoni wala hasikii mpaka umtende akutoe moyoni. Kama home hakuna mahusiano mazuri, stress tupu na mume yuko juu juu kama break ya faya, lazma mwanamke anakuwa keshamchoka na ni rahisi.kuvutiwa na yeyote anayeamsha memories nzuri za kabla ya stress.
Ukikuta mwanamke alieolewa anamtamani.mwanaume alieompenda zamani, kosa ni.la mumewe.
Sisi wanawake.tunakuwa distracted kirahisi sana (nashangaa mnajisifia udhaifu). Mwanamke akipenda, haoni wala hasikii mpaka umtende akutoe moyoni. Kama home hakuna mahusiano mazuri, stress tupu na mume yuko juu juu kama break ya faya, lazma mwanamke anakuwa keshamchoka na ni rahisi.kuvutiwa na yeyote anayeamsha memories nzuri za kabla ya stress.
NI KWELI KWAMBA ASILIMIA 90 YA WANAWAKE HUOLEWA NA WATU WASIOWATEGEMEA/WASIOWAPENDA,WAKATI ASILIMIA HIZO 90 ZA WANAUME HAO HUPENDA NA KUOA YULE WANAYEMTAKA...Hii ni kutokana na mila zetu za ki Africa...Mwanamke anaweza mpenda mtu but asiwe na UJASIRI wa kwenda kumwambia na matokeo yake anasubiri Mwingine atokee na AMTONGOZE..Sasa fikiria katika Ndoa pale ndo mmeshaoana na kuzoeana halafu huyu Mwanamke one day anakutana na kutongozwa na Yulee aliyempenda enzi hizo.....SIMO
Hapo kwenye bold: hao walikuwa wanawake wa enzi zile, sisi wa kizazi hiki hakuna hiyo!!!!
Ni kweli Evelyn salt.ukifanya hivyo unakuwa kamaa umechepuka kautamaduni fulani ka kiafrica.na utachukuliwa kama "malaya fulani"(Sory)au utapata tabu sana kumfanya mwanaume huyo akupende kwa dhati.na hawezi kukuambia kuwa hakupendi but atakuzungusha sana hadi atakapokaa sawa.Hili hutokea marachache sana.
Acha uzushi wewe. Umefanya utafiti wapi na lini na kwa vigezo vipi kama siyo umbea? Hakuna kitu huniudhi kama hitimisho la jumla. Ni ushauri tu.
It is challenging...Ukifuatilia mwanamke kabla ya kuolewa ya kwamba huwa anatamani aolewe na mwanaume wa aina gani..kama akibahatika kuutoa ukweli toka moyoni mwake basi utashangaa kuona yule anayeishi naye si wa aina ile aliyoitamani..
Laiti wanaume wote tungelitambua hili..lolz
Umeongea a very nice message...
However, the problems is, one man's meat is another man's poison
King'asti mdogo wangu maisha yanaenda kasi..
NtakuPM zaidi ili uelewe zaidi..........................
Napita tu naelekea jukwaa la siasa maana huku sipawezi..
Yaani asubuh ndo kwanza kumekucha mda wa kujenga taifa watu wanaongelea Kupendana na kuvuana pichu wakati nchi ipo kwenye majanga mazito, mtwara gesi inaleta vita watu wanakufa,, watoto wanafaulu hawajui kusoma wala kuandika, Tanesco anatafutwa CEO hapatikani hadi international applicant wameruhusiwa... lakini kuna washenzi huku wanawaza kulana mgongo tu...
( Jiwe limerushwa gizani hilo)