Najua mko busy

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Najua mko bizy leo mki nurse hangi ya valentine, me nipo kwenye matanga hapa kwa whitney Houston, watu wanalia sana, tupo na akina 50cents, Akon, Lil wayne, Bow wow barazani, namuona Jay Z huyo anapita na sahani ya mchango, Obama nae anamkumbatia Janet huku analia, jikoni kuna akina Beyonce, Rihana, wanachagua mchele, kushoto kwangu namuona Pdiddy, Fat Joe, R Kelly wanapasua kuni. Ntaendelea kuwajulisha zaidi kadri ya mambo yanavyo songa. Wacha nikamsaidie Snoop Dogg na LL cool J kupepeta jiko. Baadaye basi..
 
Coca Cola-alc 5.5
Fanta-alc 4.5
Sprite-alc 4
Pepsi-alc 5.0
Tafadhali kuwa mwangalifu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom