Najivunia kusoma UDOM

Jamani chuo kinachotoa Bachelor science in statistics ni UDOM kwasababu kinafundisha hadi software.....because mimi ni mojawapo niliyemaliza pale now najivunia
Kama kweli wewe ni graduate kwa maandishi haya basi umetukanisha walimu wako na chuo cha UDOM.

Uneandika kama std 7
 
Kwa mtindo huu bora rasimu ya mataala wa Elimu ipitishwe haraka
Hawa vijana tunawapoteza sasa huyu ni graduate
 
Jamani chuo kinachotoa Bachelor science in statistics ni UDOM kwasababu kinafundisha hadi software.....because mimi ni mojawapo niliyemaliza pale now najivunia
Siku hizi Udom wako vizuri. Hata ajira za utumishi wahitimu wake wanapita nazo sana. Vyuo vingine ni kama vimesimama sijui shida ni nini.
 
Acha mambo yako mkuu
Unaaibisha chuo chenu ase
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…