Najiuliza tu hivi hawa wanaohamia ikifika 2020 watapita kwenye kura za maoni kweli

Kiongozi umeona mbali sana!
Hawa wanaonunuliwa kwa vipande vya fedha, dhamira zao zitawasuta na wameingiza katika familia zao roho za usaliti na kununuliwa!

Kitu wasichokujua ni kwamba, wataendelea mamlaka za vetting kamwe hazitowarecommend kupata nyadhifa za juu zaidi kwa sababu mafaili yao yana taarifa za kununuliwa, ikiwemo kununuliwa shilingi ngapi, wapi na tarehe gani!. Swali la kuwakataa litakuwa simple tu, Kama huyu kanunuliwa kwa milioni kadhaa asaliti dhamana yake, Je tukimpa dhamana fulani kisha wakaja wakora wa kimataifa na dau fulani kubwa si atauza nchi huyu?. Watamuweka pembeni!
 
Hizo akir Africa hakuna, kwan walioko madarakan wamefanya mangapi mabaya ??
 
Hii imekaaje wakuu kuna tetesi kwamba kila mtu anayeamia CCM anapewa milion 500 pia watapewa pesa tena kabla ya uchaguzi 2020 lakini hii nimeipata kutoka ndani kabisa baada ya makada wa ndani kulalamika sana.

Sasa mwenyekiti malaika anaandaa mkakati wa kuwakata wote na kuleta watu wake wale wa ndio Mzee 2020.

Na ndio utakuwa mwisho wa siasa zao hii imekaaje je kuna makubaliano yeyote wana saini hawa jamaa au wanakurupuka tu na kwenda uko .

Naomba ili liwe fundisho kwa siasa za nchi hii bora kufa na kamba shingoni kuliko kukubali upumbavu wa namna ile

Nawashauli wajiandae kisaikolojia
 
Hawawezi kukatwa 2020 kwanza sidhani kama uchaguzi utakuwepo.Sababu kuu yaweza kuwa hatuna hela ya kugharamia uchaguzi Maana si chini ya billion 500 au zaidi. Na kama utakuwepo watakaorudi ni wafia tumbo ili kupitisha ajenda ya Miaka 7
 
Uchaguzi ujao hauna upinzani sana,tutaweka makada wa chama kugombea,hawa wageni watabaki kuwa wanachama wa kawaida ili kuwapima uaminifu wao kwa chama
 
Hayo makubaliano hata wakisaini na baadae akawageuka,wataenda kulalamika mahakama gani wakati makubaliano yenyewe ni haramu kisheria?

Kwa kifupi,ndio itakuwa imekula kwao.
 
Hii imekaaje wakuu kuna tetesi kwamba kila mtu anayeamia CCM anapewa milion 500 pia watapewa pesa tena kabla ya uchaguzi 2020 lakini hii nimeipata kutoka ndani kabisa baada ya makada wa ndani kulalamika sana.

Sasa mwenyekiti malaika anaandaa mkakati wa kuwakata wote na kuleta watu wake wale wa ndio Mzee 2020.

Na ndio utakuwa mwisho wa siasa zao hii imekaaje je kuna makubaliano yeyote wana saini hawa jamaa au wanakurupuka tu na kwenda uko .

Naomba ili liwe fundisho kwa siasa za nchi hii bora kufa na kamba shingoni kuliko kukubali upumbavu wa namna ile

Nawashauli wajiandae kisaikolojia
Mkuu hata bila tetesi hawa tayari wameshajiharibia CV zao za kisiasa.

Hawana misimano ya kisiasa ambacho ni kigezo kikubwa sana kwa mwanasiasa yeyote duniani.

Huwezi baada ya miaka 2 tu ukaikana itikadi ya chama chako kweli?? Yaani ni sawa na Mkiristo kuukana ukristo wake sababu tu hakubakiani na Askofu, Askofu atapita ila imani yako inabaki....

Huwezi leo ukakikataa chama chako eti tu kutokukubaliana na Mwenyekiti; Mwenyekiti ni wa kupita ila itikadi za chama hazitaka zibadilike.

Sasa huko unakokwenda baada ya miaka kadhaa akija mwenyekiti mwingine akashidwa kufanya naye kazi itakuwaje?? unahama tena?

Hawa wameshakwisha kisiasa na mbaya zaidi wengi wa hawa bado ni vijana; wacha tuone watafika wapi.
 
yeah true kwa hiyo unamaanisha wakina Lipumba,Mlema,Mpendazoe watakuwa wengi baada ya 2020.?
 
Ndani ya CCM vyeo kibao uDC,uRC,uDED etc mtu kama Waitara aliyehakikishiwa na Mbowe kuwa 2020 hana chake has nothing to lose hata akikosa vyote
 
Back
Top Bottom