Hao wafia chama hawana sauti wala haki wao waendelee kusugua benchi tu.Chama si mali ya wanachama ,mmiliki binafsi ndo mwenye hatimiliki nani arudi nani asirudi.Watakaorudi ni wenye chapa ya 666 tu wengine wakatafute Kazi ingine, Hao wakatwa mikia ni muhimu kupitisha ajenda ya Miaka 7 kule kilingeni kama mitaji ya ndiooo!!?Awapi....kuna wafia chama wana hasira kweli kweli...
Afu 2020 itakua kila mtu on his on way yanii kila mtu kivyake huyo pombe mwenyewe atakua anahaha kutaka kuchagyliwa tena unadhani atakua na muda wa kukakikisha wafia chama hawawahujumu hawa kondoo waliokatwa mikia??