Najiuliza tu hivi hawa wanaohamia ikifika 2020 watapita kwenye kura za maoni kweli

Jenseny

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
1,743
1,731
Imekua desturi ya wanasiasa wetu kutokuheshimu maoni ya wapiga kura wao yaani mwakilishi wa wananchi kwwnda kuwakilisha mawazo yake,.

Sikatai kuhama hama kwa wapinzani lakini najiuliza wamefikiria juu ya lifespan yao ya kisiasa je wasipopitishwa kwenye kura za maoni watakua na mtetezi wa kuwatetea kama ilivyo sasa hiv?

wanasiasa mnaohama vyama huu ni muda wa kujitafakari sasa
 
2020 Watapitishwa na CCM iwapo tu utaratibu wa kura za maoni utawekwa kapuni na CCM.

Vv
 
Awapi....kuna wafia chama wana hasira kweli kweli...

Afu 2020 itakua kila mtu on his on way yanii kila mtu kivyake huyo pombe mwenyewe atakua anahaha kutaka kuchagyliwa tena unadhani atakua na muda wa kukakikisha wafia chama hawawahujumu hawa kondoo waliokatwa mikia??
 
Nahisi 2020 wataliwa kama pumba maana hata kule watokako watakuwa hawatakiwi na wanako kimbilia watakuwa wamemaliza kuwatumia kama kawaida ya MALAYA akisha vuliwa chupi basi mwanaume anafunga zipu anaondoka zake baada ya kumaliza shughuli yake.
 
Awapi....kuna wafia chama wana hasira kweli kweli...

Afu 2020 itakua kila mtu on his on way yanii kila mtu kivyake huyo pombe mwenyewe atakua anahaha kutaka kuchagyliwa tena unadhani atakua na muda wa kukakikisha wafia chama hawawahujumu hawa kondoo waliokatwa mikia??
Bro Mitchell leo Umeongea point ya Siku 2020 itakuwa Patashika Nguo Kuchanika hawa Wahamaji watapata snaa Tabu maaana wafia chama Wanawaangalia kwa jicho la Hasira Kinoma kaka.
 
Sure Mkuu maana 2020 kila Mtu atakuwa anapambana kivyake na ndipo Hapo Wafia Ccm watakapoanza Kudeal na Hawa Malaya wa Kisiasa Kimshazali zaidi.
unafikir hawakuwaza hayo? Sidhani Kama Kuna mbunge angefanya ujinga wa kuhama chama, halafu 2020 asirudi mjengoni.Maana Hakuna ambacho angekuwa amekifanya, ni bora angebakia huko huko chadema..

Pia kumbuka ccm ni chama tawala hata asipo rudi bungeni.. Kuna teuzi nyingi saana
 
《Mkuu Unajua Maana ya mvuvi Kumuwekea Chambo Samaki kwenye Ndoano??》

Hivyo ndivyo ilivyo kwa Hawa wahamaji huwa wanadanganywa ili akina Polepole wazinyake Saini zao lakini Wafia Chama wapo na Wanawalia Timing vizuri tu.

2020++ wana Uhakika Gani wa Hizo teuzi wakati Pombe mwenyewe anaweza Asirudi Magogoni??
 
Imekua desturi ya wanasiasa wetu kutokuheshimu maoni ya wapiga kura wao yaani mwakilishi wa wananchi kwwnda kuwakilisha mawazo yake,.

Sikatai kuhama hama kwa wapinzani lakini najiuliza wamefikiria juu ya lifespan yao ya kisiasa je wasipopitishwa kwenye kura za maoni watakua na mtetezi wa kuwatetea kama ilivyo sasa hiv?

wanasiasa mnaohama vyama huu ni muda wa kujitafakari sasa
Hawatapita na ndiyo mpango rasmi was kuukata nguvu upinzani. Kwa maana mbele hakuendeki na nyuma hakurudiki.
Hawapokelewi walikotoka na walikohamia hawatakuwa na nafasi.
 
Huo utaratibu Sasa hivi ccm hawaufuati Mkuu!
Akishasema mwenyekiti hakuna wa kubisha....

Kama kungekuwa Na kura za maoni Hata kwenye hizi chaguzi ndogo wasipita!
 
Ndo uhakika pekee wa wao kuendelea kwenda chooni,Bila hivo hawarudi,ingekuwa chama ni Mali ya wanachama wasingerudi,au sanduku la kura lingekuwa linaaamua mshindi wasingerudi.Pia inatakiwa wawahi deadline kabla msimu haujaisha,ikifika deadline ukiunga tu mkono kwa mujibu wa Sheria ya uchaguzi unasubiria hadi 2020.Msimu wa manunuzi ukipita hakuna atakaeunga mkono,wala jimbo kuwa wazi labda sababu ya kifo.
Mkuu kweli hiki ndo kitu huwa nakifikiria na mm ina maana wenyewe hawana hizo fikra au wamewekeana mkataba kwamba ikifika na 2020 watasimamishwa wao ..????
 
《Mkuu Unajua Maana ya mvuvi Kumuwekea Chambo Samaki kwenye Ndoano??》

Hivyo ndivyo ilivyo kwa Hawa wahamaji huwa wanadanganywa ili akina Polepole wazinyake Saini zao lakini Wafia Chama wapo na Wanawalia Timing vizuri tu.

2020++ wana Uhakika Gani wa Hizo teuzi wakati Pombe mwenyewe anaweza Asirudi Magogoni??
Hahaa, mkuu. ccm isirudi? Pia chini ya JPM hamna kura ya maoni, wafia chama hawana cha kuamua. Ingekuwa wanafuata mchakato wa kura ya maoni,, hao wanao hamia wasinge ipata hyo nafasi. jpm ndo final say
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom