Najitolea figo

zeck 9t

New Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
4
Reaction score
1
Habari zenu wapendwa katika bwana..!! Asalam Alekh!! Kwanza ningependa kutanguliza shukrani zangu kwa wana JF kuwa pamoja muda huu... sina mengi ya kusema ila jambo kubwa nalotaka kuwaeleza ni juu ya kujitolea figo kwa mtu yoyote ambae yupo katika hali mbaya, nimeamua kufanya hivi kutokana na kuguswa na matatizo ya watanzania wenzangu. Hasa upande wa magonjwa kama haya. Hivyo kama una ndugu au rafiki ambae anahitaji msaada wa hivi naomba uwasiliane na mimi ili kufata taratibu nyingine za kiutabibu.
MUHIMU: Sifanyi biashara ila nimeamua kujitolea kwa mgonjwa alie na hali mbaya.
Contact: zeckp34@gmail.com
 
Kuna dada mmoja mzuri sana jirani yangu anamatatizo ya figo kila baada ya siku mbili unaenda muhimbili kusafisha damu I wish angeona hili tangazo nashindwa kwenda kuwaambia ujumbe huu wasijekuniona mchawi ila ubarikiwe kwa moyo wako wa kujitolea nilikua sijui mtatizo ya figo ila kupitia huyo dada sasa najua
 
 
kujitolea inamaana upati hata senti nyekundu hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…