Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,169
- 48,451
Mzee wa kukurupuka, yaani hata huwezi kusoma uzi kwa undani na kutafakari hadi unamtukana kamanda mwenzio. rudia tena kuusoma huo uzi kwa makini halafu umuombe radhi "kamanda mwenzio"Ulikuwa mzigo tu una hata hoja kwenda zako tena ulikuwa pandikizi la mtandaoni pyuuuu tema mate
Swissme
mkuu soma post yenyewe kwanza!Ulikuwa mzigo tu una hata hoja kwenda zako tena ulikuwa pandikizi la mtandaoni pyuuuu tema mate
Swissme
Sasa wajadili maudhuhi hau kichwa cha habari?Najitoa Rasmi kwenye kuikosoa CHADEMA hadharani badala yake nitatumia mifumo ya chama kufikisha ujumbe wangu. Sitaki kuwa kama Rafiki yangu Benson Mramba wa Tanga ambaye ameamua kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kukosoa chama.
Lakini kuanzia leo najiunga Rasmi kwenye kundi la wakosoaji na wapingaji wa sera za CCM na matendo ya chama hicho ambacho ndiyo sababu na chanzo cha kuifanya nchi yetu iwe hivi ilivyo.
Hakika nawaambieni,msikurupuke kujibu uzi kwa maana mtapotosha.[JOSEVEREST 10:12]Ulikuwa mzigo tu una hata hoja kwenda zako tena ulikuwa pandikizi la mtandaoni pyuuuu tema mate
Swissme
hahahahah mtani wangu Joseverest njoo huku hahahahahahHakika nawaambieni,msikurupuke kujibu uzi kwa maana mtapotosha.[JOSEVEREST 10:12]
hahahahaha...... ..lovely.Najitoa Rasmi kwenye kuikosoa CHADEMA hadharani badala yake nitatumia mifumo ya chama kufikisha ujumbe wangu. Sitaki kuwa kama Rafiki yangu Benson Mramba wa Tanga ambaye ameamua kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kukosoa chama.
Lakini kuanzia leo najiunga Rasmi kwenye kundi la wakosoaji na wapingaji wa sera za CCM na matendo ya chama hicho ambacho ndiyo sababu na chanzo cha kuifanya nchi yetu iwe hivi ilivyo.
Yaani wewe uko vizuri, haha haUlikuwa mzigo tu una hata hoja kwenda zako tena ulikuwa pandikizi la mtandaoni pyuuuu tema mate
Swissme
Msome vizuri .Ulikuwa mzigo tu una hata hoja kwenda zako tena ulikuwa pandikizi la mtandaoni pyuuuu tema mate
Swissme
Heading ya uzi, jamani nimekuja mbio hadi nimesahau kuvaa japo kandambili. hahhahah. huu uzi watu wasipousoma kwa makini watadhani ndivyo sivyo! hahahahahahahah. Sawa mleta uzi. mie nikuelewa kuliko inavyotakiwa kukuelewa
haswaa na mie niliwaza kama wewe. Si unaona makamanda wanavyomtukana, lakini nimejifunza kitu kuwa watu wakishasoma heading basi anaanza ku comment hawasomi uzi wote swissmeDuh nimeelewa kwa nini walimu wangu walikuwa wananisisitiza kuhakikisha nasoma swali vizuri na kutafakari kabla ya kujibu. Inatisha kundi kubwa la watu wanashindwa kuelewa ujumbe uliomo ktk mada hii