Najitathimini niingie katika mapenzi ya namna gani...

gidume

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
743
Reaction score
915
Salaam,

Twende direct kwenye point..kwa jinsi nilivyo ni introvert flan hivi ambae sipendi sana kujichanga na watu,sina tabia ya kuchekesha katika story,sio mtu wa kujielezea sana wala wa siwezi kuelezea kitu,,nilichojaaliwa labda utanashati kidogo,usmart na kismart cha kuwa na pesa ambazo mjini naishi vizuri tu..umri ni above 33+

Mwanamke akiwa na mimi ategemee sana niwe namjibu yeye kuliko mimi ntakavyokua naongea...mimi sio muongeaji kabisa...bas napenda mwanamke mwongeaji na awe na hobbies nyingi.

Twende kwenye main issue.
Nimeoa na nna watoto wasiozidi watatu ila huyu mke wangu nilienae sijivunii kwa lolote sbb ana tabia kama zangu..mnaweza mkasafiri kms 200 na private akaongea na wewe maneno manne au matano tu..anaweza amka siku hiyo kanuna tu bas hakieleweki ndani ya nyumba..nimetumia kila njia kufanya furaha ije imeshindikana anaonekana ana matatizo ya akili lkn nikapata soln mbili...kiburi chake huwa nakituliza kwa makofi sbb ana maneno machafu sana..soln namba mbili tabia yake za malezi yake mimi kama mm niliona nifanye mpango wa kuongeza mwanamke ambae sio rasmi (mchepuko mke) hivyo ikanipasa nipate nyumba ingine ya kupanga tofauti kwa ajili ya mwanamke ataekua ananipa furaha.. na kweli nilikua nafarijika sana nikiwa nje ya nyumba yangu,maana nikirudi nyumbani ni kucheza na watoto tu mke anakua either kanuna au anamalalamiko .

Kuna rafiki yangu kila siku huwa ananihusia na kunilalamikia kwann nimewahi sana kuoa mi jibu langu ni huwa imeshatokea..

Huyu yeye principle yake ni kuita mwanamke anamsex anamlipa na kuachana nae asbhi na atamtafuta kipindi akimhitaji tena kwa malipo..huwa ananishauri sana kutumia hiyo technique huwa namcrush ..lakini anasema bora ufanye hivyo kuliko kujitakia maumivu ya mapenzi na anasemaga live mwanamke anaekupa magonjwa ni mpenzi wako wa kila siku huwa nafeli hayo kiukweli sbb nahisigi nna uhitaji wa sex mara nyingi tofauti na kila nikimtaka mwanamke nimwite nimpe hela alaf tusijuane adi ntapomhitaji tena..

Sasa kilichonikuta adi kunifanya nilete apa mada..

Kumbe yule mwanamke anaenipa furaha na yeye ana mpenzi wake ambae ana malengo nae tofauti na mimi kujua..siku hiyo nimeenda nikakuta yupo na mpenzi wake sikutaka kufanya chochote sbb sikupenda malumbano nikaweka wazi moyoni kuwa mimi na yeye basi..

Sasa ugumu naupata kwenye hili la nyumbani nahisi bila ya kua na mwanamke pembeni anaenipa furaha bas ntakua na maisha magumu sana..

Napata mawazo haya:

1)Nifanye kama nilivyofanya ya mara ya kwanza ila nijiandae kwa lolote ambalo limeshanitokea kabla..(heartbreak)

2)Niingie katika kundi la ushauri wa jamaa wangu kua nikitaka furaha sikuio niitolee pesa nienjoy na mwanamke charming siku nzima na baada ya hapo nimtafute siku ntakapokua radhi kumwaga pesa au kumlipa.( ingawa hawa huwa wana wapenzi wengi sana)

3)Niingie katika ukurasa wa umalaya yani ile playboy sbb hamna kizuri mapenzi yamenifanyia.

Note: Majibu mtayotoa ntakua nayanalize closely ata nisipo quote ila nna diary naorodhesha sehem nachambua kipi cha kufanya..maana naona mwaka huu mapenzi yananiendea lesi sana..

Karibuni tushiriki
 
Kaa chin na mke umuulize nini tatizo , yaan mrekebishane wewe na mke wako , na kwenye mapungufu yake jarbu kumvumilia .

Kwa ivyo vitu unavyotaka kuchagua kimoja wapo mimi naona hakuna ata kimoja ambacho ni sahii kwako coz tayar ww una mke na watoto .

Alafu, HACHA UMALAYA TULIA NA MKEO.
 
N sawa mkuu lakini angalia future yako kwanza zakuambiwa changanya na za kwako ila kiukweli m siambatani na demu asiyechangamka anipi mudi muda wote unakuta kajikalia tu no discusion na kisirani kingi😎😎
 
Shifting mahusiano or probably or temporary
 
Hiyo 'heartbreak' uliyoweka kwenye mabano ni ya kuachwa na mchepuko! Like seriously!!

Utoto raha sana.
 
Mkuuu... Huyo mchepuko wako ulipompata...utapata na mwingine huko huko... Au mwambie mchepuko akutafutie mchepuko mwingine
 
Mkuu ahsante kwa kuniongezea msamiati introverts nimeelewa maana yake baada ya ku google

My the way ningekupa @Miss Reneee akupelekee moto mdomon kidogo
Ila sasa haiwezekani kana maneno hako
Ila kazuri sema mkari

Cheers bby
 
Sasa ndugu kwani ulilazimishwa kuoa ama hata hamkukaa kale kamuda ka uchumba kidogo na mkeo mjuane. Ndoz za watu wenye hulka moja hua ni changamoto sana aisee.
Yote kwa yote, kwanza umetulimit kwenye kutoa ushauri ati tubase kwenye ayo machagulio yako yaliyokaa kimalaya malaya. Kikubwa tu fanya kutulizana na mkeo mweleze kiundani unataka nini na hupendi nini huenda nae naona kama wewe ndo tatizo na yeye ana mchepuko wake unaompa furaha apo ndani mnakutana kulala tu utamu kila mtu anajua anakoupata. Tulia na mkeo mkuu muyaongee na kila mtu atoe dukuduku lake na jinsi anapenda mwenzake awe.
Ni hayo tu.
 
Salaam,

Twende direct kwenye point..kwa jinsi nilivyo ni introvert flan hivi ambae sipendi sana kujichanga na watu,sina tabia ya kuchekesha katika story,sio mtu wa kujielezea sana wala wa siwezi kuelezea kitu,,nilichojaaliwa labda utanashati kidogo,usmart na kismart cha kuwa na pesa ambazo mjini naishi vizuri tu..umri ni above 33+

Mwanamke akiwa na mimi ategemee sana niwe namjibu yeye kuliko mimi ntakavyokua naongea...mimi sio muongeaji kabisa...bas napenda mwanamke mwongeaji na awe na hobbies nyingi.

Twende kwenye main issue.
Nimeoa na nna watoto wasiozidi watatu ila huyu mke wangu nilienae sijivunii kwa lolote sbb ana tabia kama zangu..mnaweza mkasafiri kms 200 na private akaongea na wewe maneno manne au matano tu..anaweza amka siku hiyo kanuna tu bas hakieleweki ndani ya nyumba..nimetumia kila njia kufanya furaha ije imeshindikana anaonekana ana matatizo ya akili lkn nikapata soln mbili...kiburi chake huwa nakituliza kwa makofi sbb ana maneno machafu sana..soln namba mbili tabia yake za malezi yake mimi kama mm niliona nifanye mpango wa kuongeza mwanamke ambae sio rasmi (mchepuko mke) hivyo ikanipasa nipate nyumba ingine ya kupanga tofauti kwa ajili ya mwanamke ataekua ananipa furaha.. na kweli nilikua nafarijika sana nikiwa nje ya nyumba yangu,maana nikirudi nyumbani ni kucheza na watoto tu mke anakua either kanuna au anamalalamiko .

Kuna rafiki yangu kila siku huwa ananihusia na kunilalamikia kwann nimewahi sana kuoa mi jibu langu ni huwa imeshatokea..

Huyu yeye principle yake ni kuita mwanamke anamsex anamlipa na kuachana nae asbhi na atamtafuta kipindi akimhitaji tena kwa malipo..huwa ananishauri sana kutumia hiyo technique huwa namcrush ..lakini anasema bora ufanye hivyo kuliko kujitakia maumivu ya mapenzi na anasemaga live mwanamke anaekupa magonjwa ni mpenzi wako wa kila siku huwa nafeli hayo kiukweli sbb nahisigi nna uhitaji wa sex mara nyingi tofauti na kila nikimtaka mwanamke nimwite nimpe hela alaf tusijuane adi ntapomhitaji tena..

Sasa kilichonikuta adi kunifanya nilete apa mada..

Kumbe yule mwanamke anaenipa furaha na yeye ana mpenzi wake ambae ana malengo nae tofauti na mimi kujua..siku hiyo nimeenda nikakuta yupo na mpenzi wake sikutaka kufanya chochote sbb sikupenda malumbano nikaweka wazi moyoni kuwa mimi na yeye basi..

Sasa ugumu naupata kwenye hili la nyumbani nahisi bila ya kua na mwanamke pembeni anaenipa furaha bas ntakua na maisha magumu sana..

Napata mawazo haya:

1)Nifanye kama nilivyofanya ya mara ya kwanza ila nijiandae kwa lolote ambalo limeshanitokea kabla..(heartbreak)

2)Niingie katika kundi la ushauri wa jamaa wangu kua nikitaka furaha sikuio niitolee pesa nienjoy na mwanamke charming siku nzima na baada ya hapo nimtafute siku ntakapokua radhi kumwaga pesa au kumlipa.( ingawa hawa huwa wana wapenzi wengi sana)

3)Niingie katika ukurasa wa umalaya yani ile playboy sbb hamna kizuri mapenzi yamenifanyia.

Note: Majibu mtayotoa ntakua nayanalize closely ata nisipo quote ila nna diary naorodhesha sehem nachambua kipi cha kufanya..maana naona mwaka huu mapenzi yananiendea lesi sana..

Karibuni tushiriki
Wee jamaa mbona una expectations za kingese sana.....sasa umeoa alafu unamchepuko ulidhani huo mchepuko wako peke yako?

Ushauri wangu mie naona bora uwe unafanya kama jamaa tuu. Tena uzuri wa hiyo ni kwamba unabadilisha ladha kulinga na upepo. Wiki hii ninahamu na mwanamke mwenye litako oversize basi poa next week mwenye maziwa basi safi tuu. Lasst but not least hamna stress za kijinga kabisa. Ebu ingia badoo au tinder jikamatie mrembo unaenjoy nae
 
Back
Top Bottom