Najitambulisha kwenu

J.Mwesiga

New Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1
Reaction score
0
Hodi hodi wenyeji, wanfamilia wa JF..

Najitambulisha kwenu, mimi mgeni mpya wa familia hii kubwa. kijana wa kiume nnayejulikana kwa jina la mwesiga.

Nashukuru sana kwa kunipokea
 
KARIBU MWANETU Mwesiga hapa ndio jf chunga usiumwe na mbu na ukapata malaria sugu karibu
 
hodi hodi wenyeji, wanfamilia wa jf..

Najitambulisha kwenu, mimi mgeni mpya wa familia hii kubwa. kijana wa kiume nnayejulikana kwa jina la mwesiga.

Nashukuru sana kwa kunipokea

aminia
 
Karibu naona umeingia vizuri, nasubiri post yako ya piliili nielewe msimamo wako!
 
Mwesiga.....a son to Baregu???? anyway, karibu sana JF.
 
JM karibu sana sisi wote ni ndugu na Africa ni moja
 
Karibu sana tunahitaji michango yako ya hali na mali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…