Manka R JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 238 Reaction score 29 Sep 8, 2014 #1 Iwe barabarani kwenye mzunguko wa watu, Dsm, mwenye nayo anipigie kwa 0766589444
JoJiPoJi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2009 Posts 2,990 Reaction score 3,551 Sep 8, 2014 #2 Mimi ninayo IPO huku kisiju mkoani pwani kama itakufaa ni Pm tufanye biashara!
Kinyozi wetu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2014 Posts 324 Reaction score 194 Sep 8, 2014 #3 kaka ya laki mbili??? ongeza pesa watu watafanya biashara kinyume na hapo utaonekana hutaki biashara!
kaka ya laki mbili??? ongeza pesa watu watafanya biashara kinyume na hapo utaonekana hutaki biashara!