Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,431 Oct 11, 2014 #1 Tunga sentensi
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Oct 11, 2014 #2 Bujibuji unaanza kutunga hiyo sentensi hapo...? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,711 Oct 11, 2014 #3 Lamba ndimu au nusa kikwapa kinachonuka...kikizidi muone daktari.
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Oct 11, 2014 #4 Najisikia kichefuchefu kukoment kwenye hii thread
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 Oct 11, 2014 #5 Najisikia kichefuchefu kuuona huu uzi
shansarie JF-Expert Member Joined May 25, 2013 Posts 5,690 Reaction score 3,370 Oct 11, 2014 #6 najisikia kichefuchefu kuona bujibuji kaweka huu uzi.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Oct 11, 2014 #7 Ah...najisikia kichefuchefu baada ya Bujibuji kuingia mitini.... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,484 Oct 11, 2014 #8 Kim nana said: Lamba ndimu au nusa kikwapa kinachonuka...kikizidi muone daktari. Click to expand... Kikwapa kinachonuka au akalambe vidonda... kula kamasi la mwenzio la mgonjwa wa ebola kunywa makohozi ya mgonjwa wa TB.
Kim nana said: Lamba ndimu au nusa kikwapa kinachonuka...kikizidi muone daktari. Click to expand... Kikwapa kinachonuka au akalambe vidonda... kula kamasi la mwenzio la mgonjwa wa ebola kunywa makohozi ya mgonjwa wa TB.
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 Oct 11, 2014 #9 Nasikia kichefuchefu nasikia kichefuchefu....
B bebito geni Member Joined Oct 11, 2014 Posts 31 Reaction score 9 Oct 12, 2014 #10 najiskia kichefuchefu siti kawa miss tz
The Intelligent JF-Expert Member Joined Dec 27, 2013 Posts 2,459 Reaction score 824 Oct 12, 2014 #11 Heaven on Earth said: Najisikia kichefuchefu kukoment kwenye hii thread Click to expand... Why ujisikie kichefuchefu?
Heaven on Earth said: Najisikia kichefuchefu kukoment kwenye hii thread Click to expand... Why ujisikie kichefuchefu?
The Intelligent JF-Expert Member Joined Dec 27, 2013 Posts 2,459 Reaction score 824 Oct 12, 2014 #12 Ninyi mnaojisikia kichefu chefu mtakuwa mna mimba zangu.
Konda wa bodaboda JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,981 Reaction score 4,172 Oct 13, 2014 #13 The Intelligent said: Ninyi mnaojisikia kichefu chefu mtakuwa mna mimba zangu. Click to expand... He! he! he! asavali sija-comment kichefuchefu.
The Intelligent said: Ninyi mnaojisikia kichefu chefu mtakuwa mna mimba zangu. Click to expand... He! he! he! asavali sija-comment kichefuchefu.
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Oct 13, 2014 #14 Naskia kichefu chefu nina mimba
Konda wa bodaboda JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,981 Reaction score 4,172 Oct 13, 2014 #15 mamaafacebook said: Naskia kichefu chefu nina mimba Click to expand... The Intelligent amesema wote mnaosikia kichefu chefu mna mimba zake, je ni kweli una mimba yake? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mamaafacebook said: Naskia kichefu chefu nina mimba Click to expand... The Intelligent amesema wote mnaosikia kichefu chefu mna mimba zake, je ni kweli una mimba yake?
M miss ngatara JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 473 Reaction score 167 Oct 13, 2014 #16 Najisikia kichefuchefu kusoma hiz comment
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Oct 13, 2014 #17 Konda wa bodaboda said: The Intelligent amesema wote mnaosikia kichefu chefu mna mimba zake, je ni kweli una mimba yake? Click to expand... Heeenh ashindweee sio yake Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Konda wa bodaboda said: The Intelligent amesema wote mnaosikia kichefu chefu mna mimba zake, je ni kweli una mimba yake? Click to expand... Heeenh ashindweee sio yake
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,239 Reaction score 17,677 Oct 13, 2014 #18 mamaafacebook said: Heeenh ashindweee sio yake Click to expand... oya tutafutane basi...
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Oct 13, 2014 #19 kiwatengu said: oya tutafutane basi... Click to expand... Nikutafte wapi tena
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,070 Oct 14, 2014 #20 mmmmhhh baada ya kusoma topic hii nshahisi kichefuchefu