Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,063
- 134,408
Unajionaje mjinga ikiwa una akili za kuandika haya:
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/865983/
Dume zima unakuwa mbea,mambo ya jukwaa la wakubwa ni siri ya wanajukwaa. C.c funzadumeUnajionaje mjinga ikiwa una akili za kuandika haya:
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/865983/
Najiona mjinga sana tena nisiyefaa katika jamii,,,
Kama mnakumbuka kama mwez umepita hivi nilileta Uzi wa kumpenda rafik yangu yaan nilitokea kumpenda sana hasa tabia yake ilinivutia alikuwa anaoneka mtu anayejiheshimu na mpole kumbe upole umeficha mengi
Basi bwana kumbe jamaa aligundua nampenda akawa kaniapproach tumekuwa katika uhusiano wa mwezi mmoja tu na umevunjika...Nimegundua ni muongo muongo,,,, anawanawake wengi nimeamua kuuvunja uhusiano huu
Kinachoniuma kanikula kama Mara 3 hivi due!!! yaan najizarau sana,,,najichukia kupita kawaida in short mimi ni mjinga sana...
Cc Raimundo.. Ndugu yangu nisha angukia pua huku
Kama umeliwa basi kakuongezea cv una experience ya kutosha sasa!Najiona mjinga sana tena nisiyefaa katika jamii,,,
Kama mnakumbuka kama mwez umepita hivi nilileta Uzi wa kumpenda rafik yangu yaan nilitokea kumpenda sana hasa tabia yake ilinivutia alikuwa anaoneka mtu anayejiheshimu na mpole kumbe upole umeficha mengi
Basi bwana kumbe jamaa aligundua nampenda akawa kaniapproach tumekuwa katika uhusiano wa mwezi mmoja tu na umevunjika...Nimegundua ni muongo muongo,,,, anawanawake wengi nimeamua kuuvunja uhusiano huu
Kinachoniuma kanikula kama Mara 3 hivi due!!! yaan najizarau sana,,,najichukia kupita kawaida in short mimi ni mjinga sana...
Cc Raimundo.. Ndugu yangu nisha angukia pua huku
Eh wewe em Acha kudanganya mabinti... Mwanaume anatulia mwenyewe akitaka...sishauri mtu apambane kumtuliza mwanaume ur not happy mpige chini overKweli we ni mjinga... sasa baada ya kugundua ana wanawake wengi s ndio ilkua chance ya kumpa vitu kumfanya awe wako pekee? Au unafkr anaanza tu kua wako hiv hiv, watu wenyewe mko wengi hadi wengine mnashnda sokon na bango kua mnatafuta mme, tumia akili kua mvumbuz na umfanye awe wako tu milele....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume yeyote yule n fala na mjinga mbele ya mwanamke hana makubwa akifika apoEh wewe em Acha kudanganya mabinti... Mwanaume anatulia mwenyewe akitaka...sishauri mtu apambane kumtuliza mwanaume ur not happy mpige chini over
Acha umbea mtoto wa kiume,ukionekana tena Jukwaa la Wakubwa tunakubaka tunakuchana malindaTuliza kipwinto wewe...
Hahah...we mtani wa jadi una mikwara kama kaka yako Rage...Acha umbea mtoto wa kiume,ukionekana tena Jukwaa la Wakubwa tunakubaka tunakuchana malinda
Heee heee ila sio fresh mkuu kuleta mada za kule huku,kule ni kama nude beachHahah...we mtani wa jadi una mikwara kama kaka yako Rage...
Haya sitakuja tena huko
Nyie ndiyo wale mnaoenjoy maisha na kudinyana halafu mnakuwaga na bahati sana na wanaume kwenye mahusiano.Hahaha amekukula Mara 3?
Mimi huwa sihesabugi..
Hlf wanawake km nyie mnagandwa km luba na wanaume sema mnazikimbia ndoa wenyewe, hlf wale wa kuhesabu na kuvizia ndoa ni vilio dailyMimi huwa natoa kwa kuenjoy nipate utamu basi. Huwa si demand chochote in return
Halafu hata sikujua imetoka jukwaa pendwa...niliikuta tu kwenye profile ya bibie...Heee heee ila sio fresh mkuu kuleta mada za kule huku,kule ni kama nude beach