Najiona mjinga sana

Hustahili kujihukumu kiasi hicho, makosa yapo ndio maana tunapaswa tujifunze.
Jisamehe lady !
 
Wanaume ukishawapa papuchi jiandae kisaikolojia.
 
Katika kosa kubwa wanawake huwa mnalifanya bila kujua ni kuwapa wanaume miili yenu kama zawadi ukinzani kwamba ndio atakupenda zaidi, lakini katika akili zetu sisi wanaume inatuambia kuwa huyu ni malaya.
But you have chance rekebisha ulipokosea.
 
Usijilaumu mrembo, kuteleza sio kuanguka. Ni moja ya changamotoo tuu!!
 
Kwahiyo Raimundo ndo alikukula au ulimu-assist??
 
Asante aisee
 
Pole sana, wewe ulimuona mpole na mstaarabu kumbe ilikua ni chambo cha kukupanua paja..

Kweli bora tuu ujidharau.!!!
Acha tu ndugu yaan naona aibu hata kwa watu walie niona nae...watanifikiriaje?
 
Asante aisee
Tunaanzisha mahusiano kwa nia njema kbsa na lengo ni kuwa mume na mke. Ila hutokea kinyume kwasbb hatujui kilichomo ndani ya mioyo ya wapenzi wetu. Inauma lkn haina jinsi, na huo ndiyo ukweli.
Ni sawa na kulima shamba, na unategemea kuvuna, bahati mbaya mafuriko yakapita kila kitu kikaenda na maji. Unaweza kujilaumu kwann nimelima hapa, kwann hiyo hela nisingenunua kitu chochote. Hukujua na ulilima ili kupata mazao na hayo ndiyo mategemeo yetu. Na kutokea kwa mafuriko siyo mwisho wa kulima bali imekupa somo zuri ili siku ukianza kulima, uangalie sehemu na ulime kwa kufuata kontua na pia itakufanya ujikinge vip kwa kuchimba mifereji pembeni mwa shamba.
Pumzika, jipe muda na uanze kutembea tena kwa kuangalia sehemu ya kukanyaga.
Pole
 
Mwezi mmoja, ameshakukula mara 3(Ukizingatia kuna zile siku za hedhi), atakua amepiga hesabu hadi kuja kukuoa utakua umechoka sana.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mna maneno walimwengu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…