Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,038
- 2,189
Et eee BT muongo muongo sanaKweli we ni mjinga... sasa baada ya kugundua ana wanawake wengi s ndio ilkua chance ya kumpa vitu kumfanya awe wako pekee? Au unafkr anaanza tu kua wako hiv hiv, watu wenyewe mko wengi hadi wengine mnashnda sokon na bango kua mnatafuta mme, tumia akili kua mvumbuz na umfanye awe wako tu milele....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida
Umeteleza hujaanguka! Usijidharau shukuru Mungu kama bado uko salama na hujaambukizwa STDs na kama hukuachwa WAWILINajiona mjinga sana tena nisi efaa katika jamii,,,
Kama mnakumbuka kama mwez umepita hv nilileta Uzi wa kumpenda rafik yangu yaan nilitokea kumpenda sana hasa tabia yake ilinivutia alikua anaoneka mtu anaejiheshim na mpole kumbe upole umeficha mengi
Basi bwana kumbe jamaa aligundua nampenda akawa kani approach tumekua ktika uhusiano wa mwez mmoja tu na umevunjika...
Nimegundua ni muongo muongo,,,, anawanawake wengi nimeamua kuuvunja uhusiano huu
Kinachoniuma kanikula kama Mara 3 hv due!!! yaan najizarau sana,,,najichukia kupita kawaida in short mi ni mjinga sana...
Cc Raimundo.. Ndugu yangu nisha angukia pua huku
Unajutia nini akati umepata exprience ya kutosha endelea kuongeza ufanisi, au aliondoka na kidude!
Nyie bila kuongopewa huwa hamfungui mioyo yenu, wanaume wote waongoEt eee BT muongo muongo sana
ha ha ha basi akutafute umtibie ili kirudi hahaaa! hizi girlish staffs zinakeraga eti anajutia...anajutia kupata utamu hahaaaa
Najiona mjinga sana tena nisi efaa katika jamii,,,