Yaani mpaka leo kuna vijana hawajui Elimu ya balehe duh!
Lakini ngoja nikusaidie kama itafaa...
-Hilo ni jambo la kawaida usijali na ndiyo njia pekee inayokufanya uendelee kubaki salama (otherwise ungekuwa kichaa au dish kuyumba maana madude hayo yangezalishwa kupitiliza na hayatolewi kwa namna yoyote)
-Kama hujaoa na uwezo unao fanya uoe
-Kama hujaoa na huna uwezo huo basi shiriki sana kazi na mazoezi ya mwili na akili
-Kama wewe ni muumini basi funga sana (swaumu)
Angalizo;
Hayo yote nimeyaandika kwa kuchukulia kuwa wewe ni kijana ambaye sasa unaingia kwenye utu uzima na hujawahi kuwa na mke wala hujihusishi na maswala ya ngono. Kama una sifa tofauti na hizo ndugu yangu subiri wenye elimu tu wanakuja watakupa mwongozo