Najikuta naanza KUIKUBALI CHADEMA..!

chadema bye bye
 
Mabadiriko ni inevitable wananchi tutachukua nchi yetu
 
Dah!
Kiukweli nimeisoma hii post mpaka machozi yamenitoka, naomba usiendelee kamanda maana utanifanya niende jela siku nikikutana na Zito.
kwahiyo sasa hivi adui yenu ni zitto na si CCM?
 
Wadau, nimekuwa nikifuatilia mgogoro unaondelea ndani ya CHADEMA baina ya maamuzi ya kamati kuu ya chama hicho dhidi ya ZITTO KABWE, jinsi unavyokiweka chama hiki katika wakati mgumu. Upande wa pili ni vile CCM wanavyotumia nafasi hii kuwashawishi wananchi waamini kwamba mgogoro huu unaoendelea ndani ya CHADEMA unakifanya chama hiki kukosa uwezo wa kuongoza nchi, hoja yangu nikweli mgogoro ndani ya CHADEMA utawafanya wananchi waichukie CHADEMA na kuipenda CCM katikati ya dimbwi la kashfa na tuhuma nzito zinazokikabili Chama Cha Mapinduzi.
 
duh kwel eng. kama ndo mainginia wa hiv m nadhan tuache kusoma, iwapo ww unamtetea mbowe na saccos yake, w chukua chako sepa.. umefanya kazi yako vyema ila mhim mkuu saccos(chadama) imekufa.
 
CHADEMA ni mara mia zaidi ya chama chochote Tanzania haijalishi kuna migogoro ya namna gani
 

no wonder unaitwa au unajiita Simbilisi....majina huwa yanamwakilisha mtu alivyo. kwa wafuga simbilisi watanielewa sana
 
hiv ninyi mnaoikubar cdm
Mnaweza mkatetea juu ya
Uenyekit wa mbowe? Mtu ambae
Anahusishwa na kubadili katiba
Ili atawale milele?, mtu aliekataa
Gar la sirikal na kusema halitaki
Kisha akalichukua kimyakimya,
Mtu ambaye sera ya chama ni
Kutochukua posho yy anachukua?,
Mtu ambae anatumia bajeti ya
Serikali kutanua na dem
Wake dubai?:hiv ni usafi gan
Hasa yy alionao?au kwa sbb yy
Ana nasaba na mwanzilishi?
U guyz tafuten hoja za kumsafisha
Maan mm ukintajia mbowee tu
Najua ni fisadi! Na mm nashangaa
Kwa nin asijiuzuru?
 
Kama ndiyo hivi mama zetu kule hospitalini wataendelea kugalagala chini while watoto wetu mashule wakiendelee kukaa chini-Mungu inusuru Tanzania
 
CCM ni chama mujarabu kwa maisha ya mtanzania


Hivi wewe maisha ya mtanzania unayajua lakini! na unapenda yaendelee hivihivi? madawa ya kulevya tumekubali ni janga la dunia, sawa. Tembo wetu waendelee tu kumalizwa na wachina, garama kubwa za umeme japo gesi na maji vyote ni vyetu, kodi lukuki kwa wafanyabiashara wadogo huku wawekezaji wakubwa wakiendelea kusamehewa kodi! Na mambo lukuki~aaah.. Ndo unapenda maisha ya mtz yaendelee hivi hivi? Wewe ni mtanzania lakini au upo kwaajili ya tumbo lako 2? hufikirii kabisa kuna siku wajukuu zako itabidi wwawaone vifaru kwenye picha tu? Nina wasi na uzalendo wako.
 



zilipendwa

Hii article ilikuja siku nyingi humu na Mnyika, slaa na lissu walikataa kuwa hawahusiki..............umesikia

Pili kama mna hakika na hizi tuhuma, basi zingewekwa kwenye zile tuhuma 11 ambazo zilikuwa very weak

tatuSIO WEWE, WALA CHADEMA, WALA CCM, WALA MAFISADI AMBAO WANAWEA KUCHAPISHA HILI GAZETINI KWANI TUTAMWITA ALBERTO MTHIBITISHE
 

Hopeless huwezi kupenda chama cha wazinzi wewe

no wonder ufufuo na uzima kuna tuhuma kibao za uzinzi
 
Sasa mnalalamika nn! Mhandisi kasema hayo ni mawazo yake! Mnasahau kama sio wa Lumumba huyo
 

chief,kama umemsoma vizuri Bihagaze mwishoni kabisa ktk maelezo yake amesema "..mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua".plse mwelimishe kilichoko nyuma ya pazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…