Najihisi mzito kuingia kwenye mahusiano

Najihisi mzito kuingia kwenye mahusiano

subiri utakuwa mwepesi muda ukifika tena utakuwa nao hata 15 unamiliki
 
Dogo, mbona unatanguliza utetezi mwingi? Mimi nakupongeza kwa msimamo wako, lakini naona kama hujiamini hivi.

Fanya unachojisikia kufanya, usifanye kwa kuwa watu wanafanya. Kufuata mkumbo kuna wagharimu vijana wengi sana, kufanya jambo kwa kuwa fulani amefanya, huo ni utumwa mbaya sana.

Kumbuka kuwa, malego uliyojipangia ni muhimu zaidi kuliko mambo yanayozuka tu pembeni. Tulia, na ukazane kutimiza malengo yako, usiangalie watu wanasemaje kuhusu wewe, usiangalie watu wanakutazamaje.

Vv
Habari Wana Jamiiforums.

Mimi ni Gentlemen na ivi sasa nina miaka 22.

Cha ajabu ni kwamba hadi sasa sijavutiwa bado kuingia au kuanza mahusiano ya kimapenzi.

Remember,don't judge about URIJALI.

I'm sure niko fiti na kila siku saa kumi na moja Jogoo lazima awike tena anawika kwa muda wa dakikak 30 na zaidi, kuhusu ndoto nyevu ndo usiseme, mpaka sometimes inanibidi nibadilishe shuka.

Naombeni ushauri wenu Ndugu zangu. Ni kwamba bado muda wangu kumpata niliyepangiwa na Muumba au mi mwenyewe ndo Mzembe.

Ilifikia hadi kipindi girls wakawa wananifata kuomba uhusiano na mimi but huwa sifill kuanza mahusiano.

So please wana Jamiiforums ushauri wenu ni wa muhimu sana na sijawahi kuwa kwenye mahusiano before.

Natanguliza shukrani
 
we mdanganye, siku ya kwanza utapiz ukishkwa nywele tu!!! na mlivonamaneno lazima mumtangaze

Tulia dogo, bola unahakika ni mzima utakapo jisikia utaingia. Mambo mengine sio ya kukimbilia

Ahhhhhha shemejiiiii ndo mana nakupenda haya suregirl maneno hayosiku ya kwanza akishikwa nywele tu atapiz ahhhhha siku ya pili akipepesa.macho.habar kwisha kabisa
 
Last edited by a moderator:
Habari Wana
Jamiiforums.

Mimi ni Gentlemen na ivi sasa nina miaka 22.

Cha ajabu ni kwamba hadi sasa sijavutiwa bado kuingia au kuanza
mahusiano ya kimapenzi.

Remember,don't judge about URIJALI.

I'm sure niko fiti na kila siku saa kumi na moja Jogoo lazima awike tena
anawika kwa muda wa dakikak 30 na zaidi, kuhusu ndoto nyevu ndo
usiseme, mpaka sometimes inanibidi nibadilishe shuka.

Naombeni ushauri wenu Ndugu zangu. Ni kwamba bado muda wangu kumpata
niliyepangiwa na Muumba au mi mwenyewe ndo Mzembe.

Ilifikia hadi kipindi girls wakawa wananifata kuomba uhusiano na mimi
but huwa sifill kuanza mahusiano.

So please wana Jamiiforums ushauri wenu ni wa muhimu sana na sijawahi
kuwa kwenye mahusiano before.

Natanguliza shukrani

22 gentleman? dogo vip umemaliza chuo? kwanza maliza ndo uje apa kuonesha how gentle u a, na ushauri utapewa.
 
hahahaahahaha...miaka 22 hujawai kugegeda. Hahaha. unamatatizo. vipi ushawai kuvutiwa na jinsia yako (MMe) kuwa mkweli hapa tujue tunakusaidiaje....seriously 22yrs ni mingi mno.

hahahaaaaaa
 
Dogo, mbona unatanguliza utetezi mwingi? Mimi nakupongeza kwa msimamo wako, lakini naona kama hujiamini hivi.

Fanya unachojisikia kufanya, usifanye kwa kuwa watu wanafanya. Kufuata mkumbo kuna wagharimu vijana wengi sana, kufanya jambo kwa kuwa fulani amefanya, huo ni utumwa mbaya sana.

Kumbuka kuwa, malego uliyojipangia ni muhimu zaidi kuliko mambo yanayozuka tu pembeni. Tulia, na ukazane kutimiza malengo yako, usiangalie watu wanasemaje kuhusu wewe, usiangalie watu wanakutazamaje.

Vv

Mi nakuomba uuchukue huu ushauri.Unaweza kuforce ili uonekane rijali lakini matatizo yakikupata yanakuwa ya kwako tuuuu sio ya wanajf
 
habari wana jamiiforums.

mimi ni gentlemen na ivi sasa nina miaka 22.

cha ajabu ni kwamba hadi sasa sijavutiwa bado kuingia au kuanza mahusiano ya kimapenzi.

Remember,don't judge about urijali.

I'm sure niko fiti na kila siku saa kumi na moja jogoo lazima awike tena anawika kwa muda wa dakikak 30 na zaidi, kuhusu ndoto nyevu ndo usiseme, mpaka sometimes inanibidi nibadilishe shuka.

Naombeni ushauri wenu ndugu zangu. Ni kwamba bado muda wangu kumpata niliyepangiwa na muumba au mi mwenyewe ndo mzembe.

Ilifikia hadi kipindi girls wakawa wananifata kuomba uhusiano na mimi but huwa sifill kuanza mahusiano.

So please wana jamiiforums ushauri wenu ni wa muhimu sana na sijawahi kuwa kwenye mahusiano before.

Natanguliza shukrani


we bado ni mtoto,kwa sasa tafuta fedha watajileta wenyewe,uwe mzito au mwepesi watakuja tu,
ila ukianza kuwafuata hao,fedha itakukimbia na utakufa maskini.
 
Back
Top Bottom