Soma novel, vitabu vya hadithi vya Kiingereza, ukizingatia jinsi wanavyounganisha sentensi. Sikiliza taarifa za habari au filamu uone jinsi ya kutamka neno kwa neno.Habari wanaJF,
Naombeni msaada nawezaje kujifunza kingereza cha kuongea japo nina idea nacho kidogo ila kwenye kuongea ndo shida.
Nitumie njia gani ili niweze kuongea vizuri.