Najifunza kuweka picha

jipendekeze mbongo uone push za bordgood
 
Kumbe hata machingawa kichina pia...kweli mtu wa watu
 
Never give up njoo uone! I never give up! Some limeanza kueleweka.
 
Hii ni moja ya sababu inayofanya wachina wajazane hapa bongo; tunawashobokea mno! lol
 
Man of all people....chezea m.k.w.e.r.e
 
Haya mwaJ tuwekee hizo steps zake mpaka hapo ulipofikia ili tusahishe kama umefuata steps sahihi au umedesa.
 
Duh!!huyu jamaa ni noma,tripu iliyopita na rey c leo na mchina!!!
 
Namuona magufuli na pulilo lake ka langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…