Sophoghani
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 395
- 626
Wasiliana nasi kupitia 0768469574Habari wanajukwaa.
Nataka nijifunze namna ya kufanya data analysis, kwa data za research. Ni fursa niliwahi kukutana nayo, kwamba wanachuo wengi muda wa research wanakuwa bize sana, na data analysis inawapiga chenga baadhi yao.
Hivyo nimeamua nijikite kuwa na Hiyo skills, lakini sijajua wapi pa kuoingeza utaalamu zaidi.
Kwa Sasa Najifunza software ya R Commander ambayo nasikia iko applicable sana.
Msaada wenu naombeni mahali pa kuongeza elimu ya haya Mambo zaidi.
Pia Kama Kuna mahali naweza kupata free data kwa ajili ya majaribio, ingependeza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Hiyo SPSS cjaitumia ila niliyemuomba ushauri alinipa iyo R- CommanderNipo wa pili hapa.
Lakini nauliza iyo software yako ni universal kuliko SPSS ???
Fanya utafiti ujue. Kwa mm naijua SPSS kama best kwa Social Science researchMkuu Hiyo SPSS cjaitumia ila niliyemuomba ushauri alinipa iyo R- Commander
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimekupata Hiyo stata ngoja nitafute ntaleta mrejeshoUnaweza kuangalia kwenye kazi nyingi kwa hapa bongo hata mbele utaona stata ndio wanatumia sana sio R,
Kingine unachotakiwa kujua ni kwamba iliuweze kuanalyze data lazima uwena data kama data wanakuletea kwenye format ya spss lazima uzibadili ziwekwenye stata,stata inafanya hivyo.
Kama utakuwa unawaingizia data unatakiwa ujue software ya kuingizia data yaani unatengeneza templete ya kuingizia data halafu unaanza kuinginza
Sent from my iPhone using JamiiForums