Najiachiaaaaaa

Maisha ya bongo muvi hayo, ila angalia sana maana graph itaanza kushuka isivyokawaida.
 
Ifike muda utamani kuheshimiwa hayo maisha ya ukunguru hayana raha halisi ya kibinadamu.Kama huelewi NAKUPA GO ON MAMA.
 
kiufupi watu wa namna yako wako wengi,na wenye kujitambua kama wewe ni wachache.Umeanza vema,endelea taratibu na mwishowe utajikomboa!
 
At that age hujatamani kuitwa mama kweli!!
 
Kuwa desparate sio mpk uokote makopo huko kuyaona maisha yako ni ya ajabu ndo desparation zenyew hzo

Km unawish kuwa na family uv to change mpendwa if ur too fake don't expect to find a real man u will jst end up with those screw u

Punguza mastarehe u- wife material ukuhusu ss ohooo
 
Kwa jinsi hiyohiyo uliyowaweka non-ideal dudes close to you, unaweza ukawaweka ideal dudes close to you na ukakamilisha dream yako ya kuolewa. Hauwezi kutarajia kuolewa na Juma wakati umemuweka Ally karibu yako zaidi na Juma umemuweka mbali.

Kama unapenda ku-date watu tofautitofauti bila kuchoka tambua kuwa ndoa wewe sio yako, hau-deserve kuolewa kwa maana ndoa itakushinda.

Sijaelewa unaishi vipi kama m-Kristo wakati una-date watu wengiwengi au una maana umezaliwa na wazazi wa-Kristo?

Sijaelewa unasema unasali Mungu arekebishe kasoro ulizonazo hii ina maana unajua uko wrong, sasa kwa nini usiamue kubadilika?

JF wapo kama wewe. Maisha yamekushinda au la, inategemea na standard zako za maisha bora ulizojiwekea, watu tofauti standards zao tofauti pia.
What can you do: angalia unatafsiri vipi maisha bora, kama tafsiri inafanana na unavyoishi then endelea na maisha hayohayo. Kama tafsiri haifanani na unavyoishi then fuata hiyo tafsiri, achana na aina ya maisha unayoishi sasa.
 
Piga magoti Mungu Baba atasikia sauti yako na kukujibu. Hakuna lisiliwezakana kwa Mungu. Na tazama na mipango nawe kama hajakuumba. Je, unatimiza mipango yake Mungu? Hapo ndiyo utajielewa.
Mungu ametuweka hapa duniani tumjue, kupenda, kumtumikia ili tufike kwake mbinguni.

Bwana Mungu akushushie Roho mtakatifu ili ujielewe....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…