Software Engineer
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 344
- 137
naomba unifunze namie tafadhali
1. Fungua paypal page HAPA
2. Bonyeza Sign Up
3. Jaza yafuatayo:
>Email yako inayofanya kazi
>Password na confirm password unayotaka kutumia
>Bonyeza Next
4. Jaza profile information
> Jina lako la kwanza e.g. David
> Jina lako la mwisho e.g. Pesambili
> Birth date: e.g. 02/12/1990 (hii iko katika form ya DD/MM/YYYY yaani date(tarakimu mbili)/month(tarakimu mbili)/year(tarakimu nne))
> Nationality: Ina detect yenyewe , kama vp changua Tanzania kwenye hiyo list
> Street Address: e.g. MBEZI BEACH (....lazima uikumbuke siku nyingine ukitaka kuitumia au ukiambiwa ujaze by paypal )
> Street Address #2: usijaze kitu siyo lazima
> City: e.g. Arusha
> Province/Region: e.g. Arusha
> Postal code: achana nayo
> Mobile number: e.g. +255 627900800 ... ingiza number zinazofuata +255 inakuwepo tayari usiweke zero ya mwanzoni.
>Bonyeza ka-box kushoto mwa maandishi "I confirm that..."
>Bonyeza Agree and Continue
5. Jaza taarifa za Master au Visa Card unayotaka kutumia
>Kama huna card basi skip, kisha uje uweke card yako siku nyingine
>You can add more than one Master/Visa/UnionPay-银联(kama una account kule Asia nadhani hata CRDB wana support hii)
6. Angalia inbox ya e-mail yako kisha Confirm Email yako
7. Anza manunuzi
>Unapotaka kununua kitu, chagua Paypal
> Utaona maelekezo ya kukwambia u-Login kwenye payal kisha u-confirm malipo hapo hapo