Drummer danniels
New Member
- Sep 30, 2018
- 1
- 1
Ni dereva wa magari madogo Nina cheti na leseni daraja D,Pia Mwalimu wa muziki upande wa dance cheti kipo na zaidi ni mjuzi na mshughulikaji katika mambo mengi usisite kuniuliza kama najua ama nafahamu.nashukuru