Naitwa Daniel ni mkazi wa Arusha pia ni kijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi zaidi ni dereva mzuri wa magari Nina cheti na leseni daraja D.

Drummer danniels

New Member
Sep 30, 2018
1
20
Ni dereva wa magari madogo Nina cheti na leseni daraja D,Pia Mwalimu wa muziki upande wa dance cheti kipo na zaidi ni mjuzi na mshughulikaji katika mambo mengi usisite kuniuliza kama najua ama nafahamu.nashukuru
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom