Naitamani nafasi ya Shy-rose NMB | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naitamani nafasi ya Shy-rose NMB

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by steering, Aug 22, 2012.

 1. s

  steering Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa sasa ni mbunge katika bunge la afrika mashariki....ameingia kwenye siasa. Kwa kuwa benki ile ina mkono wa serikali kwa asilimia kadhaa, je, ameshaacha kazi kama meneja mawasiliano wa nmb?
  Kama ndivyo, kwa nini mchakato wa kutangaza hiyo nafasi hauko wazi
  ..
  Kwa kuwa bado sijasikia popote, naamini kwamba bado anashikilia nafasi hiyo ambayo nami naitamani....
   
 2. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ina wenyewe
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Pole sana hapa tunajadili siasa! Lowasa anataman nafasi ya Dhaifu!
   
Loading...